Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Na wanapiga vibaya sana...Kila mmoja anapiga kutokana na eneo lake lo hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanapiga vibaya sana...Kila mmoja anapiga kutokana na eneo lake lo hakuna namna
Ndoivo lo kila mbuzi ala kwa urefu wa kamba yake!Na wanapiga vibaya sana...
Magufuli ndo alikua bingwa wa barabara mbovu.... barabara nyingi zilizojengwa akiwa waziri na baadae Rais ni chini ya kiwango. Yule jamaa alikua mpigaji basi tu hii nchi ina vichwa vya panzi wengi sana.Awamu hii hata flyover ni quality mbovu ukilinganisha awamu iliyopita
Viongozi waliopatikana kwa wizi wa kura lazima wataendeleza na kuusimamia wiziKatika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.
Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua jambo linaloashiria kandarasi husika kupatikana kwa njia ya rushwa.
Nimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.
Ukitazama barabara nyingi zinazojengwa na Tarura hazina hata sehemu za Watembea kwa miguu (Pedestrians) na nyingi hazifungwi hata taa za kuona usiku kwa watembea kwa miguu na inasemekana fedha hizo huwa zinatengwa kwenye bajeti za ujenzi wa barabara husika.
Tanzania tuna kazi kubwa sana kwa kweli hasa katika uadilifu wa watu wetu na uzalendo wa wstu wetu katika kufanya mambo wakiangalia maslahi ya Taifa badala ya maslahi yao binafsi.View attachment 3097223View attachment 3097224View attachment 3097225
Wao si ndio huwa wanaenda kukagua barabara, reli na airports?!CCM ndio Ina wataalamu? Au ndio TanRoads/Tarura? Kutojua adui ni kupoteza pambano.
Viongozi wengi wanataka kupata nafasi za uongozi ili kujinufaisha binafsi sio kufanya maendeleo kwa nchiViongozi waliopatikana kwa wizi wa kura lazima wataendeleza na kuusimamia wizi
Wachina ni wahuni namba moja duniani.Wananchi wa kawaida wengi wanakwambia angekuwepo hayati magufuli dsm nzima kungekua na lami.
Hata huu mradi wa majitaka unaoendelea ungekuwa na quality.hizi mwendokasi zinazoendelea kujengwa ilihali mabasi hakuna nazo zingekuwa na high quality kama ile aliyojenga strabag ila hawa wachina wanaokula ugali wa buku 3 washakuwa waswahili.
Na ukitaka kujua wachina matapeli kwenye ujenzi google sakata la pwc china. Pwc scandal china utaujua utapeli wa ma contractor na developer wa kichina
siku ukiyajua yanayoendelea huko kwenye hayo maujenzi ya kibongo unaweza kulia na kuzimia.....anyway MUNGU atusaidieNimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.
Weka wazi humu ndugu. Inabidi wajue kuwa tunajua madudu wanayoyafanya. Na kwa kuwa Jinai haiozi kuna siku wajue watapandishwa tu kizimbani kujibu mashtaka.siku ukiyajua yanayoendelea huko kwenye hayo maujenzi ya kibongo unaweza kulia na kuzimia.....anyway MUNGU atusaidie
Tanzania hamna flyover kuna Interchange 😃😃Awamu hii hata flyover ni quality mbovu ukilinganisha awamu iliyopita
niliwahi kuandika humu kwenye mojawapo ya thread zangu na pia nilishawahi kukomenti mara kadhaa.....inasikitisha! Ndio maana wafanyakazi wetu wananyanyaswa na wachina mno na hakuna mtu wa kufanya kitu. Nikukumbushe tu, unajua kuwa viongozi wengi sio wote wengi wanajaziwa mafuta na wachina? DC, OCD na wengine,, akihitaji dieasel anapewa bure na mchina? Kwa ufupi, hakuna kitu cha bure mchina atakupa, ndio maana siku zile kwa mfano DC Gondwe aanpiga mkwara jamaa walikua wanacheka tu....inaumiza.Weka wazi humu ndugu. Inabidi wajue kuwa tunajua madudu wanayoyafanya. Na kwa kuwa Jinai haiozi kuna siku wajue watapandishwa tu kizimbani kujibu mashtaka.
Flyover ziko Uganda, Tanzania nio maigizoTanzania hamna flyover kuna Interchange 😃😃
R.i.P John...😥Mtanikumbuka
Ni hatari sanaKatika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.
Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua jambo linaloashiria kandarasi husika kupatikana kwa njia ya rushwa.
Nimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.
Ukitazama barabara nyingi zinazojengwa na Tarura hazina hata sehemu za Watembea kwa miguu (Pedestrians) na nyingi hazifungwi hata taa za kuona usiku kwa watembea kwa miguu na inasemekana fedha hizo huwa zinatengwa kwenye bajeti za ujenzi wa barabara husika.
Tanzania tuna kazi kubwa sana kwa kweli hasa katika uadilifu wa watu wetu na uzalendo wa wstu wetu katika kufanya mambo wakiangalia maslahi ya Taifa badala ya maslahi yao binafsi.View attachment 3097223View attachment 3097224View attachment 3097225
Wachina watu wa hovyo sana.niliwahi kuandika humu kwenye mojawapo ya thread zangu na pia nilishawahi kukomenti mara kadhaa.....inasikitisha! Ndio maana wafanyakazi wetu wananyanyaswa na wachina mno na hakuna mtu wa kufanya kitu. Nikukumbushe tu, unajua kuwa viongozi wengi sio wote wengi wanajaziwa mafuta na wachina? DC, OCD na wengine,, akihitaji dieasel anapewa bure na mchina? Kwa ufupi, hakuna kitu cha bure mchina atakupa, ndio maana siku zile kwa mfano DC Gondwe aanpiga mkwara jamaa walikua wanacheka tu....inaumiza.
Magu alipokua rais ndie aliewanyima strabag tender ya phase 2,wahindi sijui wachina aliowaleta brt phase 2 wamejenga stand mbaya na hata barabara ndio ya ovyo kupita maelezoWananchi wa kawaida wengi wanakwambia angekuwepo hayati magufuli dsm nzima kungekua na lami.