Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

Kwa kipengele (A na B) hilo linawezekana kama uongozi wa Simba ilikuwa na malengo kumtumia katika mashindano ya klabu bingwa ambavyo itamaliza hadi ishu ya kipengele D kwavile hivyo vyote inafanyika wakati wa kuingiza jina kwenye system (kabla hata ya mashindano kuanza)

Kwa kipengele C ili kujua kama haiwezekani au inawezekana tutoke kwenye nadharia twende kwenye reference ya Perfect Chikwende dhidi ya Kahata.

Katika hao wachezaji wawili, kuna mmoja hakuwa anashiriki michezo ya ligi kuu lakini michuano ya CAF alikuwa anacheza. Je iliwezekanaje?
At the same time uwe na kumbukumbu kuwa kipindi cha usajili wa mchezaji katika awamu ya pili ya tarehe 31 mwezi Januari ni siku 16 baada ya dirisha dogo kufungwa,

Na ndio kipindi hicho hicho ambacho nadhani Simba waliondoa jina la Kramo ili kupata wachezaji wengine.

Kwa maana hiyo sio rahisi Kramo kuendelea kubaki kwenye system za usajili wa CAF kwa mgongo wa Simba kama mchezaji anayeweza kushiriki michuano.

Ishu ya Kahata na Chikwende kiukweli sina kumbukumbu nayo sahihi.

Ila kumbukumbu zangu nilizonazo ni kuwa Chikwende alikuja msimu wa dirisha dogo na lengo ilikuwa kuongeza nguvu kwenye michuano ya CAF na wakati huo tulikuwa na Kahata ambaye hakuwa na perfomance nzuri.

Simba ilikuwa haijafanya vizuri mahesabu yake wakati inamsajili Chikwende kwa expectations za kushiriki CAF Competitions

Chikwende alikuwa tayari kasajiliwa dirisha dogo na timu aliyotokea tayari alikuwa amesajiliwa kwenye mfumo wa CAF kama mchezaji wa hiyo timu na kufanya akose kigezo cha kushiriki CAF.

Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri ni kuwa swala la Chikwende kucheza ligi kuu ilitokana na zuio la CAF linalosma mchezaji hawezi kucheza timu mbili kwa msimu mmoja katika mashindano ya CAF.

Na Kahata kwa kumbukumbu zangu mbona amecheza mechi nyingi za ligi kuu?
 
Ni sahihi post yake inapingana na Ahmed Ally ila ukweli utakuja kudhihirika, kama hatokuwepo hata sub basi ni wazi Ahmed Ally yupo sahihi ila ikitomea amecheza au yupo sub basi Ahmed Ally hajui mambo yote ya ndani ya klabu ya Simba.

Kuhusu huyo aliyoweka vifungu vya sheria, nakumbuka Kahata alikuwa hachezi ligi kuu bali alikuwa yupo kwaajili ya mashindano ya CAF pekee.
Sasa kama msemaji wa taasisi hajui kinachoendelea kwenye taasisi yake na anatoa taarifa zisizo sahihi, siyo kwamba hoja yangu kuwa kuna shida pale Simba inazidi kupata nguvu?

Ngoja nikwambie kitakachotokea. Kramo usipomuona akipangwa wala kutokuwepo benchi kwenye mechi hii na Ahly watasema ni maamuzi ya mwalimu kumtumia au kutomtumia na ndipo hapo majungu dhidi ya Benchikha ya kumchonganisha na mashabiki yatakapoanza.

Dawa ni kumuuliza watakapokuwa wanarudi au kwenye press ya mechi, Benchikha au Kramo mwenyewe swali la moja kwa moja kabisa, Kramo amesajiliwa na anaruhusiwa kucheza CAF?
 
At the same time uwe na kumbukumbu kuwa kipindi cha usajili wa mchezaji katika awamu ya pili ya tarehe 31 mwezi Januari ni siku 16 baada ya dirisha dogo kufungwa,

Na ndio kipindi hicho hicho ambacho nadhani Simba waliondoa jina la Kramo ili kupata wachezaji wengine.

Kwa maana hiyo sio rahisi Kramo kuendelea kubaki kwenye system za usajili wa CAF kwa mgongo wa Simba kama mchezaji anayeweza kushiriki michuano.
Ndio maana juu nilisema kama uongozi wamefanya hivyo itakuwa hawajafanya uweledi kwenye kazi yao. Ina maana kwasasa Simba inamlipa mchezaji asiweza kucheza popote pale.
 
Na Kahata kwa kumbukumbu zangu mbona amecheza mechi nyingi za ligi kuu?
Baada ya ujio wa Chikwende, Kahata hakucheza tena ligi kuu bali alicheza michezo ya CAF peke yake.
 
At the same time uwe na kumbukumbu kuwa kipindi cha usajili wa mchezaji katika awamu ya pili ya tarehe 31 mwezi Januari ni siku 16 baada ya dirisha dogo kufungwa,

Na ndio kipindi hicho hicho ambacho nadhani Simba waliondoa jina la Kramo ili kupata wachezaji wengine.

Kwa maana hiyo sio rahisi Kramo kuendelea kubaki kwenye system za usajili wa CAF kwa mgongo wa Simba kama mchezaji anayeweza kushiriki michuano.

Ishu ya Kahata na Chikwende kiukweli sina kumbukumbu nayo sahihi.

Ila kumbukumbu zangu nilizonazo ni kuwa Chikwende alikuja msimu wa dirisha dogo na lengo ilikuwa kuongeza nguvu kwenye michuano ya CAF na wakati huo tulikuwa na Kahata ambaye hakuwa na perfomance nzuri.

Simba ilikuwa haijafanya vizuri mahesabu yake wakati inamsajili Chikwende kwa expectations za kushiriki CAF Competitions

Chikwende alikuwa tayari kasajiliwa dirisha dogo na timu aliyotokea tayari alikuwa amesajiliwa kwenye mfumo wa CAF kama mchezaji wa hiyo timu na kufanya akose kigezo cha kushiriki CAF.

Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri ni kuwa swala la Chikwende kucheza ligi kuu ilitokana na zuio la CAF linalosma mchezaji hawezi kucheza timu mbili kwa msimu mmoja katika mashindano ya CAF.

Na Kahata kwa kumbukumbu zangu mbona amecheza mechi nyingi za ligi kuu?
Mimi nadhan hapa tunabishana Kwa kutumia nguvu kuliko facts. Kahata na Junior Lokosa hawakusajiliwa ligi kuu na walisajiliwa caf. Hivyo uwezekano wa kramo kuwepo usajili wa caf ni sawa. Kwanza inawezekana usajili wa dirisha dogo pamoja na kufutiwa usajili ligi ya ndani ila Simba ikatumia kibali hicho hicho Cha awali kumuombea caf, lakini pili inawezekana Simba ikaomba kibali Ili acheze caf, hapa tff inaweza kutumia isitumie kanuni badala yake wakáangalia mahusiano yao na Simba Au uzalendo Mbele.

Miaka ya nyuma nadhan 1998 Yanga ilipoingia makundi champions league, walipata vipigo kadhaa, hivyo ikaazima wachezaji wa Simba kuongezea nguvu, Yanga ikawa Kama timu ya taifa maana ligi kuu walikua wachezaji wa simba

Ninachotaka kuna uwezekano wa kramo kucheza caf Kwa kutumia kibali Cha zamani ama kupewa kibali kipya kishkaji maana caf hawana restrictions ya idadi ya wageni. Na hii sio Mara ya kwanza imetokea. Kahata na Junior Lokosa ni mifano mizuri ya hivi Karibuni, Monja liseki, Shaban Ramadhan na Alphonce modest waliazimwa Simba kwenda Yanga 1998 kucheza caf champions.
 
Viongozi wa Simba wana wachezaji wao, hili halina ubishi, bado sielewi kwanini walimuacha Baleke na Phiri, ni utapeli na uongo mtupu.
 
Ndio maana juu nilisema kama uongozi wamefanya hivyo itakuwa hawajafanya uweledi kwenye kazi yao. Ina maana kwasasa Simba inamlipa mchezaji asiweza kucheza popote pale.
Unaona Club inafanya makosa kumlipa mchezaji asiyeitumikia timu kutokana na majeraha aliyopata akiwa kwenye maandalizi ya kuisaidia timu?
 
Baada ya ujio wa Chikwende, Kahata hakucheza tena ligi kuu bali alicheza michezo ya CAF peke yake.
Kinachohesabika ni mchezaji kucheza mechi za ligii kuu, sio kucheza idadi ya mechi ngapi.

Kwa maana hiyo licha ya kwamba unasema jamaa hakucheza mechi za ligi kuu baada ya dirisha dogo kumbuka hiyo haikutokana na Simba kumfutia usajili kwenye orodha ya kikosi kule TFF.

Ni tofauti na Kramo ambaye hayupo kwenye mfumo wa usajili wa TFF kwasababu Club imemfutia usajili.
 
Mimi nadhan hapa tunabishana Kwa kutumia nguvu kuliko facts. Kahata na Junior Lokosa hawakusajiliwa ligi kuu na walisajiliwa caf. Hivyo uwezekano wa kramo kuwepo usajili wa caf ni sawa. Kwanza inawezekana usajili wa dirisha dogo pamoja na kufutiwa usajili ligi ya ndani ila Simba ikatumia kibali hicho hicho Cha awali kumuombea caf, lakini pili inawezekana Simba ikaomba kibali Ili acheze caf, hapa tff inaweza kutumia isitumie kanuni badala yake wakáangalia mahusiano yao na Simba Au uzalendo Mbele.

Miaka ya nyuma nadhan 1998 Yanga ilipoingia makundi champions league, walipata vipigo kadhaa, hivyo ikaazima wachezaji wa Simba kuongezea nguvu, Yanga ikawa Kama timu ya taifa maana ligi kuu walikua wachezaji wa simba

Ninachotaka kuna uwezekano wa kramo kucheza caf Kwa kutumia kibali Cha zamani ama kupewa kibali kipya kishkaji maana caf hawana restrictions ya idadi ya wageni. Na hii sio Mara ya kwanza imetokea. Kahata na Junior Lokosa ni mifano mizuri ya hivi Karibuni, Monja liseki, Shaban Ramadhan na Alphonce modest waliazimwa Simba kwenda Yanga 1998 kucheza caf champions.
Sheria zinakawaida ya kubadilika.

Umezisoma lakini sheria za sasa za CAF kuhusu vigezo vya mchezaji kushiriki michuano ya CAF?
 
Huyu mwandishi huwa ana habari za ndaani kwenye masuala ya usajili na ni mshabiki wa Simba. Kuna mtu alimuuliza jana akasema Kramo amesajiliwa na Simba CAF. Kama nilivyosema toka post ya kwanza hii issue inaenda kufanana na ya Phiri, huyu mwandishi anasema uamuzi umebaki kwa kocha kumtumia ama la, kama tulivyokuwa tunaambiwa kwa Phiri.

View attachment 2943559
Sasa hapo inabidi ujiulize mwenyewe huyo Kramo kasajiliwa kipindi gani?

Kwasababu kama usajili wa mwisho wa awamu ya pili ulikuwa mwezi Januari 31, kulikuwa na sababu gani kwa huyo mwandishi kutuletea hiyo taarifa wakati huu ambao mfumo wa usajili umefungwa?

Kitu kingine ambacho unatakiwa kujiuliza ni kwamba tumfate mchambuzi au tufuate sheria za CAF zenyewe zinavyosema?

Kwasababu sheria zimeweka wazi kuwa moja ya kigezo cha mchezaji kuweza kushiriki michuano ya CAF ni pamoja na huyo mchezaji awe na kibali cha shirikisho la nchi anayochezea.

Kwa mujibu wa uongozi wa Simba ni kuwa Kramo kwa sasa kibali hicho kimeondolewa, kwa maana hiyo hana baraka za TFF na mpaka hapo anakuwa amekosa vigezo.

Otherwise uniambie kuwa uongozi wa Simba umedanganya kuhusu kumfutia usajili Kramo. Nje na hapo sioni hilo likienda kuwezekana.
 
Kinachohesabika ni mchezaji kucheza mechi za ligii kuu, sio kucheza idadi ya mechi ngapi.

Kwa maana hiyo licha ya kwamba unasema jamaa hakucheza mechi za ligi kuu baada ya dirisha dogo kumbuka hiyo haikutokana na Simba kumfutia usajili kwenye orodha ya kikosi kule TFF.

Ni tofauti na Kramo ambaye hayupo kwenye mfumo wa usajili wa TFF kwasababu Club imemfutia usajili.

Ilitokana na idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi, na ndio maana Kahata akacheza michuano ya CAF na Chikwende akawa anacheza ligi kuu.

Tunachojadili hapa ni uwezekanao wa Kramo kucheza klabu bingwa lakini kama unachosema wewe kuwa Kramo alifutiwa usajili na Simba basi hilo halina mjadala kuwa hana vigezo vya kushiriki michuano ya klabu bingwa kwasasa.
 
Sheria zinakawaida ya kubadilika.

Umezisoma lakini sheria za sasa za CAF kuhusu vigezo vya mchezaji kushiriki michuano ya CAF?
Kwenye kipengele cha mchezaji kucheza ligi kuu, sio kigezo kikubwa kama Simba na TFF wangekuwa na nia ya kumtumia Kramo.
 
Unavyosema kwamba nahalalisha kwani kuna kitu gani ambacho kimebatilishwa na wewe una huo ushahidi?

Kwasababu as far as we argue, ni kwamba unaongelea speculation ambayo haijawa proved.

Labda nikuulize wewe. Swala la Kramo kujua au kutokujua kuwa hayupo kwenye kikosi tunalithibitisha vipi?

Yani kwamba unajenga hoja kuonesha kuwa Simba wametoka public kwenye media kufikisha taarifa kwa mashabiki kuhusu swala la Kramo kuondolewa kwenye kikosi.

Lakini Simba hao hao wamemficha Kramo asiweze kujua kuwa hayupo kwenye kikosi?

Kama Simba ingetaka kumficha Kramo asijue kuwa ameondolewa kwenye sehemu ya kikosi unafikiri wangethubutu kutoka public kuwatangazia mashabiki wao kuwa Kramo ni excluded kwenye kikosi?
Kramo kama hajui basi amejua tayari. Simba inatakiwa ipate matokeo mazuri hakuna mtu atahoji hizo 10%. So far kuna mechi ngumu ipo mbele. Tukishinda haya mambo ya kramo wala hutoyasikia.
 
Ilitokana na idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi, na ndio maana Kahata akacheza michuano ya CAF na Chikwende akawa anacheza ligi kuu.

Tunachojadili hapa ni uwezekanao wa Kramo kucheza klabu bingwa lakini kama unachosema wewe kuwa Kramo alifutiwa usajili na Simba basi hilo halina mjadala kuwa hana vigezo vya kushiriki michuano ya klabu bingwa kwasasa.
Nadhani huwenda kuna uwezekano wa sheria za CAF kwa wakati huo zilikuwa zinaruhusu hilo jambo

Na ndio maana pengine hata Yanga ilishindwa kutumia opportunity hiyo kwenye ishu ya Kambole
 
Sasa hapo inabidi ujiulize mwenyewe huyo Kramo kasajiliwa kipindi gani?

Kwasababu kama usajili wa mwisho wa awamu ya pili ulikuwa mwezi Januari 31, kulikuwa na sababu gani kwa huyo mwandishi kutuletea hiyo taarifa wakati huu ambao mfumo wa usajili umefungwa?

Kitu kingine ambacho unatakiwa kujiuliza ni kwamba tumfate mchambuzi au tufuate sheria za CAF zenyewe zinavyosema?

Kwasababu sheria zimeweka wazi kuwa moja ya kigezo cha mchezaji kuweza kushiriki michuano ya CAF ni pamoja na huyo mchezaji awe na kibali cha shirikisho la nchi anayochezea.

Kwa mujibu wa uongozi wa Simba ni kuwa Kramo kwa sasa kibali hicho kimeondolewa, kwa maana hiyo hana baraka za TFF na mpaka hapo anakuwa amekosa vigezo.

Otherwise uniambie kuwa uongozi wa Simba umedanganya kuhusu kumfutia usajili Kramo. Nje na hapo sioni hilo likienda kuwezekana.
Ulisema nimeleta speculations kuhusu Kramo kutojua kuwa hajasajiliwa na Simba, ila umeiona video niliyopost hapo juu ambayo Kramo alisema anaenda Zanzibar kujiandaa na wenzake kuisaidia katika Champions League?

Iangalie halafu toa maoni yako ndiyo tuendelee na mengine.
 
Kramo kama hajui basi amejua tayari. Simba inatakiwa ipate matokeo mazuri hakuna mtu atahoji hizo 10%. So far kuna mechi ngumu ipo mbele. Tukishinda haya mambo ya kramo wala hutoyasikia.
Sidhani kama Simba ipo tayari kumuacha Kramo ikiwa wanajua yupo fit na uwezo anao.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sidhani kama Simba ipo tayari kumuacha Kramo ikiwa wanajua yupo fit na uwezo anao.
Hata mm naamini hivyo Ndo maana nakuambia issue moja tu. Kuomba tushinde.
 
Back
Top Bottom