Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

mbona Wachina, Wamexico na Wabrazil wanakiepuka ?

Nimeishi jirani na Wabrazil, hata maji hawajui inasemwaje... Mbona wao wamekiepuka ?
Hapo mwenye sifa ni china tu, mexico wanapiga spanish ni lugha kubwa ,haki kadhalika brazilian portuguese,
 
alokwambia kingereza dili ni nani??
dunia haiongee kingereza babu ushamba wako tu !
Ujerumani wanaongea kijeruman
Ufaransa wanaongea kifaransa
China wanaongea mandarin
India ndo balaaa wanalugha kibao lakin si kingereza
Japan kijapan

Dunia nzima wanaoongea kingereza 1.5Bilion na duniani tupo bilioni 8
Haya akili kumkichwa na Kasumba yako
 
Wee ni mpumbavu sana,aliyekwambia kutokujua kiingereza ni kukosa elimu nani? Kuna mzungu,au mwarabu anaona aibu kutokujua kiswahili? Stup!dity to it's apex!🚮
 
Toka primary somo la ngeli tunalo mkuu, secondary ndo wote tunapiga ngeli tupu mpaka maadvance na chuo huko, ngeli tumefeli🤣 na mkoloni kapita hapa
 
Wee ni mpumbavu sana,aliyekwambia kutokujua kiingereza ni kukosa elimu nani? Kuna mzungu,au mwarabu anaona aibu kutokujua kiswahili? Stup!dity to it's apex!🚮
Acha kupayuka wewe sir elton john? Hujui kiingereza nenda kalalamike kwa mumeo
 
Mi naona mtu anae cheka jeshi letu sio mzalendo kabisa kazi za mipakani sio poa kabisa
 
Watanzania watateteana kwa upumbavu.

Askari yupo boda hajui English, atafanya vipi mahojiano na raia wa kigeni pindi anapohisi kuna viashiria vya uhalifu?

Narudia tena ni upambavu wa Watanzania kuteteana ujinga.
Ni upumbavu wako ww Kwa kutokujua kwamba ni lazima ujifunze kijerumani kabla ya kuvuka boda Yao!
 
Umeandika gazeti refu hakuna hoja!! Wewe ni kiazi. Hujui kiingereza kenge wewe
 
Toka primary somo la ngeli tunalo mkuu, secondary ndo wote tunapiga ngeli tupu mpaka maadvance na chuo huko, ngeli tumefeli🤣 na mkoloni kapita hapa
Na kuna mawaziri wa elimu me na ke wasomi wote waliboronga kwenye kuongea hiyo lugha, so tukubali matokeo, tukaze buti na kiswahili chetu
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
 
Wewe ni tabularasa
 
Labda kiingereza ni kigumu
Mama ameagiza kiarabu na kichina vianze kufundishwa kwenye mtaala mpya
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
Mkuu agiza pepsi baridi popote ulipo!

Nabishana na askari hapo juu wenye D mbili wanakwambia kiingereza sio dili? KMMK
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
Zitaje hizo lugha ww nyoka,maana Kuna wageni wengi wanaoingia Tanzania kutoka mataifa mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…