halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
SASA SIO KWA KUMCHEKA MTANZANIA MWENZAKO NA KUMKEJELI KISA HAJUI KINGEREZA,,,,,namshukuru baba kwa mvua.
ndo hawa sasa
Zambia Kwa Clatous Chota Chama.😁Kama hutojali, naomba tafsiri ya "Zambia at Chama". Alimaanisha nini?
Ukilaza wako usisingizie wengineNyenyere ametufanyia upumbavu mwingi wa Tanzania, hafai kuitwa baba yetu
Muungano❌
Katiba❌
Lugha❌
Watanzania wana mambo ya ajabu, yaani badala ya kuona aibu kama taifa kwanin tuendelee kuwa watumwa kwa kukifanya kingereza kituendeshe , wanaona aibu kwa matokeo ya watanzania wenzao kuteseka na mfumo wa hiyo lugha.Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.
Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
Si ametobolewa uwaziri wa Kazi na Ajira, emu tuache hizo njia alizopita hadi kuufikia uprofesa anazijua yeye na hazikuhusisha Kingereza N'ngosha, lafudhi Baba lafudhi za kikabila mtu anatema Ngeli km anatema Kinyakyusu mwingine anaongea kingereza kizuri tatizo lafudhi utafikiri anaongea Kigogo au Kibena unajiuliza huyu ni Mhehe au Mfipa?Kingereza cha profesa Ndalichako uliwahi kukisikia?
Fikiri kabla ya kujibu, huyp afisa uhamiaji anafanya nini kama hawezi kuelewana na anaotakiwa kuwasaidia, kama hivyo basi waweke viziwi na bubu.Hakuna aibu kwa kutofahamu lugha ya mtu mwingine. Himizo liwe tujitahidi kujua lugha zaidi ya moja kwa dunia ya sasa mbali ya lugha zetu za kimakabila na lugha mama tunayozaliwa tukiizungumza.
Hata kiswahili chenyewe tupo emptySiyo kipau mbele,,,, na wala kingereza hakina uhusiano na maendeleo ndo maana kuna nchi nilizokutajia hapo mambo yao yote ni kwa lugha yao!!…
Kudandia lugha za watu na kung’ang’ania ni sign ya inferiority
Nimewaona jana wakiwa watano hapa MwanzaHuyo dada anaishi Kenya Kwa miaka mingi na hiyo video inapewa backup na Wakenya. Hawa anafanya road trip kutokea Kenya
Dawa yao ni kujifanya hujui kiswahili halafu boya ana bunduki kabisa sasa mtu kama huyo zaidi ya kuonea raia na rushwa afanye nini?kichwa inaonekana ni nyeupeeeLugha gongana ndio maana hao polisi wamekuwa wapole. Ingekuwa kiswahili hapo kwanza funguo zingechomolewa then mengine yaendelee.
There is nothing wrong with the video... Good service from the police...🙏🙏👌👌Hawa hapa?
Tatizo Watanzania wanasoma Kingereza kwa muda mrefu lakini mwisho wa siku wengi ni hola, watupu kabisa.Hakuna aibu kwa kutofahamu lugha ya mtu mwingine. Himizo liwe tujitahidi kujua lugha zaidi ya moja kwa dunia ya sasa mbali ya lugha zetu za kimakabila na lugha mama tunayozaliwa tukiizungumza.
Yeye aliweza kuongea Kiswahili?Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.
Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
Unaposoma hoja ya mtu soma kwa mapana. Nilichoongea nimeongelea kwa ujumla sijaongelea situation ya hao watumishi. Nimeeleza tu dhana ya kwamba kutojua lugha nyingine si kosa, kisha nikatoa angalizo ni muhimu kujifunza lugha zaidi ya moja kwa dunia ya leo.Fikiri kabla ya kujibu, huyp afisa uhamiaji anafanya nini kama hawezi kuelewana na anaotakiwa kuwasaidia, kama hivyo basi waweke viziwi na bubu.
Wakamalizia kwa swali, how many cc? Jibu, 250, askari 150cc. Kwaheri, asante sana.
Mbona wameelewana lugha ipo kurahisisha mawasiliano. Mlitaka wateme yai kama OBAMA?Hawa hapa?