Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Umepatia kwa asilimia 80% NI USALAMA WA WAHUNI MAFISADI WA CCM 100%...wewe kama siyo muhuni na fisadi wa ccm au upo ccm ila unachukia wahuni na mafisadi basi hao usalama wa wahuni na mafisadi wanakuja kukumaliza kwa namna mbalimbali.
Na hawakuzagi mitaji, ni kifo tu
 
Bongo vichaa wote ni usalama. Hata wewe ni usalama. Kila mtu ni usalama bongo ndo maana tiss haina tija nchi Ipo Ipo tu.
 
Umechelewa kufahamu hilo, it has been this way kwa muda mrefu

Lakini back in the days walikuwa for the country, kwa sasa wako for the party
Wengine masnitch tu wengine hisia za watu. Mimi wakati ninasoma chuo watu walikuwa wanaamini mimi ni usalama wa taifa tu kisa nilikuwa muda mwingi nimesafiri nakuja tu kufanya test na UE na siku ambapo kuna presentation. Sijui nani alianzisha hizo story na watu wakaziamini. Kumbe mimi nilikuwa lazima niwe home kutokana na majanga fulani.
 
mkuu hawa tiss, kazi gani kubwa wamefanya ambazo tunaweza jivunia
 
Sawa twisti
 
Back 2000s hawa jamaa walikuwa na uhitaji sana, walikuwa wakipita vyuoni kufanya recruitment. I was one of them, i reject them knowing hiyo kazi ina complication kama zote, i wanted something else

But yes kuna hizo fununu pia, si unajua wabongo wape heading tu story watamalizia
 
mkuu hawa tiss, kazi gani kubwa wamefanya ambazo tunaweza jivunia
Kwa vile kazi zao ni siri, sisi tusio Tiss hatuwezi kujua ila tunawapima kwa matokeo, ukiona tangu tumepata uhuru, serikali haijawahi kupinduliwa, CCM haijawahi kushindwa, kiungozi aliyeuwawa kwa risasi ni Karume na Dr. Kleruu tuu, then Tiss wanafanya kazi nzuri sana.
P
 
Siku hizi nadhani sifa ya kuwafanyia kazi uwe mfia chama si mfia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…