Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Kwenye serikali kufanya hafla ya kumkabidhi bandari DP WORLD, serikali ya ccm ilimpa mualiko wa uongo Fr. Kitima ili ashiriki hafla hiyo. Mbona hapo hawakumchafua kwamba anatumia jukwaa la kanisa kusapoti serikali ya ccm!Ila hao wachunga kondoo wakishiriki vikao vya machizi ccm ni halali. Shame on you