Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila hao wachunga kondoo wakishiriki vikao vya machizi ccm ni halali. Shame on you
Kwenye serikali kufanya hafla ya kumkabidhi bandari DP WORLD, serikali ya ccm ilimpa mualiko wa uongo Fr. Kitima ili ashiriki hafla hiyo. Mbona hapo hawakumchafua kwamba anatumia jukwaa la kanisa kusapoti serikali ya ccm!
 
Kazi ya kanisa ni kupatanisha

 
Kwa chuki alizoonyesha kisa dp world tulijua kuwa ni kirusi
 
TEC sio SHURA YA MAIMAMU BRAZA.
 
na ikiwezekana hata avuliwe upadre kabisa,

kwasababu hawezi kuaminika tena katika kuhubiri neno la Mungu kwa waamini hususani wa vyama vingine, ili hali moyoni mwake pamejaa chadema na mgombea uongozi wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake.

Infact,
huyo katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania hana tena uhalali wa kua kiongozi wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania lakini pia haufai tena kua padre au kiongozi wa waamini wa kanisa katoliki 🐒
 
Umeandika ujinga mtupu!
 
Alitakiwa avuliwe upadri muda mrefu sana, ukipata skendo zake na wanawake wa Chuo Kikuu -SAUT, Mwanza, utashika kichwa kwa mshangao
nadhan ni wakati muafaka sasa hilo likafanyika baada ya mtu huyo mnafiki kujaribu kuipenyeza chadema ndani ya kanisa katoliki kinyemela 🐒
 
Asante sana Dr Kitima, umesimama na BEATITUDES alizosema Yesu kwenye Matayo 5: 1-5 , umefanya kazi ya kuwapatanisha viongozi wa CDM, ombi langu hata wakija CCM au CUF, ACT au CHAUMA , wewe wapatanishe tu, hiyo ndiyo INJILI ya kweli, hata wakija simba na yanga wapatanishe tu
 
Nilidhani angependekeza Fr Kitima hata apewe Uaskofu kwa kazi nzuri sana anayofanya. Katika uongozi wa Kanisa hapo alipo kawekwa na Maaskofu. Wamemuamini. Taasisi hii ya Maaskofu Katoliki Tanzania TEC ni nyeti sana haikurupuki kumuweka Katibu Mkuu pale alipo. Yeye kama Katibu Mkuu ndiye Mratibu wa kila kitu katika Baraza la Maaskofu na ndiye Msemaji Mkuu refer wakati wa sakata la D P WORLD. Hadi sasa hatujapata majibu ya D P WORLD lakini kuna siku sisi wote tutakubaliana na ukweli uliosemwa kwamba kuna mapungufu makubwa. Sasa tuwasubiri wachina laki tatu.
 
Nina wasiwasi na jambo baya mwaka huu..
 

Kwani watu kupatanishwa ni kosa. Kama walimfuata awapatanishe yeye ana kisa gsni?

Mbona Maza aliwatuma Mashehe na Mapadri kuongea na Mbowe gerezani. Tofauti yake ipo wapi?
 
Mleta mata acha ujinga. Unadhani kazi ya makasisi ni nini? Yaani Padre aondolewe kwenye cheo kwa kufanya kazi yake ya kiutume?

Hivi CCM ndo mmebaki vilaza wa namna hii? Kweli muondoke tu madarakani maana kama ndo nchi ipo chini ya watu wenye akili za namna yenu basi future yetu kama taifa ipo mashakani sana.
 
Kwani watu kupatanishwa ni kosa. Kama walimfuata awapatanishe yeye ana kisa gsni?

Mbona Maza aliwatuma Mashehe na Mapadri kuongea na Mbowe gerezani. Tofauti yake ipo wapi?
Bado hujasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…