Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
uuuwiii, sasa nitafanyaje my wangu?Kweli Kabisa, mi wageni wa kiume home nawaogopaga sana, napenda wageni wa. Kike zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uuuwiii, sasa nitafanyaje my wangu?Kweli Kabisa, mi wageni wa kiume home nawaogopaga sana, napenda wageni wa. Kike zaidi
Kwahio mlikuwa mnapika kuku wangapi maanake mapaja yako mawili tu. Kula mapaja mawili au manne ni kujaza choo tu kiwango kinachohitajika ni kidogo sana. Ni Sawa na mtu anaekula ugali mwingiiii anajaza Choo tu.We ukija kwetu utaishi kwa tabu sana
Bi mkubwa wangu ukipakua paja moja la kuku anakuongezea yeye mawil..hahahah..hata muwe wangap kwenye meza.....sasa sis wengne tumeendeleza hyo tabia..
Hahah natania.......ila kwel bi mkubwa wangu sis watoto wa kiume alikua anatuoverload mda wa kula sana...
[emoji23][emoji23]Mwingine anaweza kujifanya mstaarabu anakula kwa adabu kumbe kwenye pochi kajibebea magimbi yake na viazi vitamu vya kuchemsha.... Mmelala ye anajigongea vitu vyake adoado.. Hiyo inaitwa usinichoshe nisikuchoshe
Point, Mambo ya kulazana na njaa hapana.Kwani mkubwa hakatiwi hilo yai?, hapo wewe ndio unakuwa mpakuaji na unauliza hiki vipi kinatosha? Mboga nampakulia na yai nakata vipande husika, kuna wageni unaangalia wanaweza kulaza wengine na njaa
Ukitaka kumfahamu mtu kastaarabika vipi basi mwangalie wakati wa kula jinsi anavyobehave. Meza ya Chakula ni mojawapo ya kipimo kizuri sana cha tabia ya mtu.Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.
Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua vipande vitatu pasi kufikiria watano wanaomsubiri watapata samaki.
Ustaarabu ni kuchukua chakula kidogo, subiri round ya kwanza iishe. Kama ulipenda sana samaki unaweza kujiongezea katika round ya pili kama watakuwa wamebaki. Wakati huo ndiyo unaweza kusema kama hakuna anaeongeza ninatongeza hawa samaki maana hiki ndiyo chakula ninachokipenda, leo shemeji umenipatia.
Kuna wengine anakula huku anashika smart phone yake mezani anaangalia messages. Jamani hao wanaokutumia hawawezi kusubiri mpaka umalize kula na wenzako? Kama una ujumbe wa muhimu sana deal la mahela unaweza kuwataarifu wenyeji wako kuwa kuna ujumbe ninautegemea lakini ni ustaarabu kuachana na simu wakati mko mezani.
Sikuhizi baba anakula kwenye sofa huku anaangalia Man United inacheza, mama yuko Instagram na simu yake. Watoto anaachiwa dada apambambane nao mezani.
Poleni sana watu wa Dar, sisi huku mikoani mgeni akikaribishwa na akajipakulia Lumbesa ndiyo furaha yetu na faraja ya kumkirimu mgeni, hatuna takrima zingine mbali na msosi lumbesa.
Huko Dar chakula ni ghali mno hiyo ndiyo sababu ya manung'uniko yenu.
Mimi siwezi kuishi Dar katika hali ya kawaida, huko nasikia Embe dodo moja ni sh 1000---1500, wakati huku nilipo ni shs 250---300 nk.[emoji1787]
Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.
Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua vipande vitatu pasi kufikiria watano wanaomsubiri watapata samaki.
Ustaarabu ni kuchukua chakula kidogo, subiri round ya kwanza iishe. Kama ulipenda sana samaki unaweza kujiongezea katika round ya pili kama watakuwa wamebaki. Wakati huo ndiyo unaweza kusema kama hakuna anaeongeza ninatongeza hawa samaki maana hiki ndiyo chakula ninachokipenda, leo shemeji umenipatia.
Kuna wengine anakula huku anashika smart phone yake mezani anaangalia messages. Jamani hao wanaokutumia hawawezi kusubiri mpaka umalize kula na wenzako? Kama una ujumbe wa muhimu sana deal la mahela unaweza kuwataarifu wenyeji wako kuwa kuna ujumbe ninautegemea lakini ni ustaarabu kuachana na simu wakati mko mezani.
Ni wapi huko nasie tuhamie maisha ya mjini hayataki masihara Ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]