Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

Ofcourse sio kitu cha kusifia ila dah! I never wish for that atleast basi muwe mna co-parent tu for the sake of the kids
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Nyati dume mie mwenyewe nakula kipaji changu zaidi ya cheti so lazima nipigie debe watoto kujaribu kila kitu wanachopenda/weza...as long as sio kitu kibaya!
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Ofcourse sio kitu cha kusifia ila dah! I never wish for that atleast basi muwe mna co-parent tu for the sake of the kids
Co-parenting ni mpango mzima πŸ’―

Sema kwa wengi ni ngumu kutokana na hurt feelings & kutokuwa tayari ku-let go and move on. Maybe nije na hiyo mada soon ili tuijadili kwa kina.πŸ€·πŸΎβ€β™€οΈ
 
Nakazia
 
Co-parenting ni mpango mzima πŸ’―

Sema kwa wengi ni ngumu kutokana na hurt feelings & kutokuwa tayari ku-let go and move on. Maybe nije na hiyo mada soon ili tuijadili kwa kina.πŸ€·πŸΎβ€β™€οΈ
Uelezee uhalisia wako ndio itakua poa.
 
Co-parenting ni mpango mzima πŸ’―

Sema kwa wengi ni ngumu kutokana na hurt feelings & kutokuwa tayari ku-let go and move on. Maybe nije na hiyo mada soon ili tuijadili kwa kina.πŸ€·πŸΎβ€β™€οΈ
Thats wise, ego ndio inafanya hili kuwa gumu ila kimsingi if things aint working it only takes wise adults kutambua kuwa life can go on na mkalea vyema tu. What ends ni ile intimate relationship yenu but watoto mnawa attend vizuri tu kila mmoja kwa nafasi yake yani na hawawezi feel ile gap sababu mnaongea vizuri tu na kujadiliana how to build up the kids future.

Concetration inakuwa watoto zaidi, ila wanawake wa kiswahili atataka mkiachana atafte bwana mwengine ambebeshe mzigo wa mtoto haraka haraka na kumfukuza baba halisi wa mtoto kwenye maisha yake! Very huge mistake
 
Mzee wangu alikua mtata tu, hata pasipo hitaji utatanishi...😜
 
Dah[emoji23][emoji23]
 
Yani hujui mtoto unampataje toka la 6 umefundisha form 3 ukafundishwa tena hujui tu mtoto anapatikanaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ah hilo zoezi la mtoto kuingia nimelisoma hadi uzee wangu huu ila siliwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…