Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

She is happy with her life, whether or not she is single.

Are you hitched? Are you happy with yours?

If you are not happy on your own, no one will ever be able to make you happy.
Mpenzi hawa kina KakaJambazi tuishie kuwaangalia tu. Kutilia maoni yao maanani ni kujitakia stress sizizotuhusu 🥴🥴

Btw...thank you for the birthday wishes!🤗😘
I hope you & yours are doing great!!!
 
Hakuna baba asiye na umuhimu.

Baba ni muhimu sana nasisitiza zaidi hasa kwa mtoto wa kiume [emoji3064]
Kuna siku mama Mchungaji wangu aliniambia; "Maskini sio mtu asiye na pesa/mali; umaskini mkubwa zaidi ni kutokuwa na wazazi".

Akaendelea akaniambia; " Ni bora mtoto akakosa mama lakini sio baba". Ukimkosa mama, mwanamke yeyote anaweza akawa mama kwako; kwa sababu kila mwanamke ana umama ndani yake. Ndiyo maana unaweza ukamuacha mtoto mdogo kabisa kwa ka binti hata ka miaka 14; utamkuta mtoto salama kabisa, kila kitu chake kiko poa. Baadhi ya familia; unakuta dada wakubwa ndiyo walezi wa familia, inapotokea mama akapata changamoto yoyote; hata kama dada mkubwa naye badi ana umri mdogo. Lakini sio kila mwanaume ni baba; na hata baba yako mzazi anaweza asiwe "baba" kwako. So many absentee fathers

Kuna siku nilikuwa naongea na mwanasaikolojia fulani; akaniambia cases nyingi za wanawake/mabinti wanaokuwa sexually abused; zinawapata mabinti wengi wenye daddy issues. Na hata wanawake wengi wanaovumilia abuses kwenye ndoa zao, na wengineo hata kupoteza maisha, wana daddy issues. Kwangu " baba" ni mtu mwingine kabisaaaaa.
 
Lizzy Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele; uyaone, na kula matunda ya uzao wa tumbo lako. Watoto wako wakakuvike taji ya heshima; kwa wao mama yao ukaitwe "mbarikiwa". Watoto wako hawatokutesa, wala kukufanya uone aibu,wala kuwa jaribu la maisha yako IJN. You are blessed
 
Hongera mkuu kwa kuexpress feeling kwa mtu wako muhimu.
 
Mama mchungaji Yani hii ishu ya watoto ni nzito sana ☹️Sikuwahigi kuelewa mpka pale nilipowapata wale vijana aiseh

Baba ni baba hakuna baba mbaya..ila tunatokea kutamka maneno mabaya kwa baba watoto zetu kwakuwa moyo unakuwa umezingirwa na uchungu + hasira.Mungu atusaidie kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…