Google uone hata Mimi kwa guu lile lazima ningepita nae wima,Weka picha yake, huenda tukaona hicho cha ziada.
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha ziada mpaka akaishia kuwachanganya ndugu hao wawili kwa pamoja?
Uko fast mkuu
Kama wewe!😂Uko fast mkuu
Nilikuwa natype nimuite mtuKama wewe!😂
hata wewe ni bibi mtarajiwa