bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Nguvu ipi Sasa kawaida tu mbona huku mtu na baba yake wanapewa mzigo na hawajuani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na roho ya uzinzi huwezi kuwa na aibuShe was the Bitch Gal...huwezi changanya Wanaume/ Wanawake ndugu. Thats Immorality..
We chizi kweli, Fidel Castro alikuwa mtoto wa mama?Enzi hizo sidhani km kulikua na matumizi ya tundu la mlango wa shetani..
Hao walikua watoto wa mama tu wakakutana na viuno vya kidawa wakapagawa wakibadilishana.
Na walikua madomo zege
Nguvu gani Sasa hapo,kwani wee hujawahi kula mtu na mdogo wake au mama na mwana?Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha ziada mpaka akaishia kuwachanganya ndugu hao wawili kwa pamoja?
Sana mkuu, kuna documentary ya Netflix Ila bado sijaiangalia ambayo inaongelea mazingira ya kifo chakeNilitaka kusema hivi hivi, alikua zaidi ya sepetu tuseme, enzi izo kakiimba vi opera vyake watu walikua nikushangiria tuu, but mwisho wa siku aliuliwa, inasemekana usalama walikuja kwenye scene waka clear evidence zote then wakamwacha mwenyewe kwenye kitanda chake, fkenedy ndo mshukiwa mkuu. Yote kwa yote ni sex icon kweli kwenye fashion kwa vizazi na vizazi.
Hapana mkuu, nilifuatilia documentary yake wanasema ni moja ya celebrities wa mwanzo kujua kutumia power of make up kujiongezea uzuri (angalia iconic pics zote yupo na make up), hata hivyo bado kuna fununu pia alifanya cosmetic surgery za "enzi hizo"..Alikuwa na uzuri wa asili.
Asante sana mkuu kwa detailed info.Hapana mkuu, nilifuatilia documentary yake wanasema ni moja ya celebrities wa mwanzo kujua kutumia power of make up kujiongezea uzuri (angalia iconic pics zote yupo na make up), hata hivyo bado kuna funny pia alifanya cosmetic surgery za "enzi hizo"..
Kingine hawafahamu kuwa alilelewa kwa single parent tena katika mazingira magumu kiasi na insurance alikuwa ni shy girl kwa hiyo, wanaume wengi walikuwa wanamuogopa kwa uzuri na umaarufu aliokuwa nao Ila wakimkaribia alikuwa submissive sana, kwa hiyo hadi hapo unaelewa kwa nini aliwachanganya..
Ila yote kwa yote ni moja ya watu waliopata exceptional fame lakini hadi leo watu hawaelewi ilikuwaje 🤣🤣, waswahili tunasema ni nyota
wacha kabisa! alikuwa mzuri lakini hapa hata baba yangu angemwacha mama!
The Mystery of Marilyn Monroe: The unheard TapesSana mkuu, kuna documentary ya Netflix Ila bado sijaiangalia ambayo inaongelea mazingira ya kifo chake
Marlyn ndio socialite mkubwa of all time na hawa kina Kim K, sepetu na wengine wote wanafuata tu footstep zake Ila bado hawajafikia level yake. Imagine mchepuko unaitwa kumuimbia Rais "happy birthday" Kwenye party yake na bado kwenye shughuli zake anaitwa kutoa salamu.
Ila kama ulivyosema, yawezekana CIA waliona wamuondoe
Kama Mwanamke mwenyewe ndo huyu namie angenichanganya pia
Wanasema alikuwa anaogea maji yenye barafu ili ku-keep ujana asizeekeHapana mkuu, nilifuatilia documentary yake wanasema ni moja ya celebrities wa mwanzo kujua kutumia power of make up kujiongezea uzuri (angalia iconic pics zote yupo na make up), hata hivyo bado kuna fununu pia alifanya cosmetic surgery za "enzi hizo"..
Kingine hawafahamu kuwa alilelewa kwa single parent tena katika mazingira magumu kiasi na insurance alikuwa ni shy girl kwa hiyo, wanaume wengi walikuwa wanamuogopa kwa uzuri na umaarufu aliokuwa nao Ila wakimkaribia alikuwa submissive sana, kwa hiyo hadi hapo unaelewa kwa nini aliwachanganya..
Ila yote kwa yote ni moja ya watu waliopata exceptional fame lakini hadi leo watu hawaelewi ilikuwaje 🤣🤣, waswahili tunasema ni nyota
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama Mwanamke mwenyewe ndo huyu namie angenichanganya pia