mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kwasababu alikua muigizaji maarufu, na aliigiza sana kwenye muvi za kimapenzi....
Si kama hawa kina Irene uwoya na Wema Sepetu....
Si kama hawa kina Irene uwoya na Wema Sepetu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia vizuri Mzee wangu hata ungekua weweWalikutana wote wazinzi
Nguvu ya marilyn Monroe hadi leo watu hawajaweza kuielewa, imagine ni miaka zaidi ya 50 toka kifo chake lakini hadi leo yupo relevant kiasi cha kuwa moja ya mastar marehemu wanaoingiza pesa nyingi hadi leo [emoji1487]
Kwa wengi bado ni sex symbol na fashion icon, tuseme ni sepetu wa Hollywood. Yawezekana asiwe mzuri kuliko wote Ila ana star power iliyopitiliza
Hype tu za wazunguAngalia vizuri Mzee wangu hata ungekua wewe View attachment 2827013
Kweli na inasemekana walimpiga picha za uchi wakazipeleka kwake alivyozikuta akabugia vidonge arobain akaaga dunia, she killed her self lakin alimwaga jamaa mmoja anaitwa pat, JFK na mtu mwingine unknown… alikufa kijana 36 years of age.She was the Bitch Gal...huwezi changanya Wanaume/ Wanawake ndugu. Thats Immorality..
Sio hype mkuu she was gorgeous, na wanasema alikuwa very romantic, wanasema alikuwa haboi sababu alikuwa ana story za hapa na pale yan hakuchoshi…Hype tu za wazungu
Pengine alikuwa na watu nyuma yake waliokuwa wanamtuma.Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha ziada mpaka akaishia kuwachanganya ndugu hao wawili kwa pamoja?
Ana trako?Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha ziada mpaka akaishia kuwachanganya ndugu hao wawili kwa pamoja?
PichaHuyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha ziada mpaka akaishia kuwachanganya ndugu hao wawili kwa pamoja?
Huyu hata mm ningepita nae
Alikuwa na uzuri wa asili.Alikuwa mzuri
Kabisa anashawishi sanaAlikuwa na uzuri wa asili.