Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

Alikuwa mzuri sana ni kama aliuawa Huyu dada
 
Hizo pesa zinazoingia nani anachukua?
Naona wanakula zaidi watu ambao sio ndugu zake maana sidhani kama alishawahi kuwa na mtoto
 
Attachments

  • IMG_20231130_123453.jpg
    IMG_20231130_123453.jpg
    137.7 KB · Views: 5
Dada yake na mama yake washafariki,hakuwa na mtoto
Umeona hapo kwenye intellectual rights zake alimpa acting coach kwa 75% ambaye nae ameshafariki, inamaanisha kuwa pesa zote za kazi zake zinaingia kwenye familia ya huyo jamaa na nimesoma ni million of dollars mfano kampuni zikitumia picha zake kwenye matangazo au brands za fashion, .. Mpunga unaingia kwenye hiyo familia

Kiufupi naona familia yake aliiachia pesa tu Ila rights za kazi zake na brand yake kawaachia watu wengine ambao ndio wanafaidika nazo
 
Ndio wazungu hao 😂 akili zao hadi mtoto wa assistant wake pia
 
Huyu hakuwa na stable family ndio maana mali yake imepotea tu kwa watu baki

Ila usishangae, Michael Jackson alimuachia mama yake portion kubwa ya mali zake kuliko hata watoto wake, iliyobaki akaiteketeza kwa charities. Ndugu zake hawajaambulia kitu😁😁😁

Ingekuwa uswazi, mama yake wangemtembeza mbele za sir God ili waambulie chochote 😁
 
Eee ila wazungu wana moyo wa kutoa sana
 
Back
Top Bottom