Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wanakula zaidi watu ambao sio ndugu zake maana sidhani kama alishawahi kuwa na mtotoHizo pesa zinazoingia nani anachukua?
Dada yake na mama yake washafariki,hakuwa na mtotoNaona wanakula zaidi watu ambao sio ndugu zake maana sidhani kama alishawahi kuwa na mtoto
Dada yake na mama yake washafariki,hakuwa na mtotoNaona wanakula zaidi watu ambao sio ndugu zake maana sidhani kama alishawahi kuwa na mtoto
Umeona hapo kwenye intellectual rights zake alimpa acting coach kwa 75% ambaye nae ameshafariki, inamaanisha kuwa pesa zote za kazi zake zinaingia kwenye familia ya huyo jamaa na nimesoma ni million of dollars mfano kampuni zikitumia picha zake kwenye matangazo au brands za fashion, .. Mpunga unaingia kwenye hiyo familiaDada yake na mama yake washafariki,hakuwa na mtoto
Ndio wazungu hao 😂 akili zao hadi mtoto wa assistant wake piaUmeona hapo kwenye intellectual rights zake alimpa acting coach kwa 75% ambaye nae ameshafariki, inamaanisha kuwa pesa zote za kazi zake zinaingia kwenye familia ya huyo jamaa na nimesoma ni million of dollars mfano kampuni zikitumia picha zake kwenye matangazo au brands za fashion, .. Mpunga unaingia kwenye hiyo familia
Kiufupi naona familia yake aliiachia pesa tu Ila rights za kazi zake na brand yake kawaachia watu wengine ambao ndio wanafaidika nazo
Huyu hakuwa na stable family ndio maana mali yake imepotea tu kwa watu bakiNdio wazungu hao 😂 akili zao hadi mtoto wa assistant wake pia
Eee ila wazungu wana moyo wa kutoa sanaHuyu hakuwa na stable family ndio maana mali yake imepotea tu kwa watu baki
Ila usishangae, Michael Jackson alimuachia mama yake portion kubwa ya mali zake kuliko hata watoto wake, iliyobaki akaiteketeza kwa charities. Ndugu zake hawajaambulia kitu😁😁😁
Ingekuwa uswazi, mama yake wangemtembeza mbele za sir God ili waambulie chochote 😁
Yeah sana sanaaa na kwenye mirathi wengi hujumuisha charity works. Bongo hakuna hiyo tamaduniEee ila wazungu wana moyo wa kutoa sana