Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

sijui ni kwanini umewaza hivi ila kujaa kwa television na mabanda umiza haiezi kuwa sababu ya kujiuliza pia why watu wanasikiliza mpira kwa redio leo.
Watu tumetofautiana sana kuanzia tabia,mazoea,mood,kazi,vipato.........
ok,asante kwa kuipanua hoja hii kwamba redio pia husikilzwa kwakuwa watu wanataka vionjo fulani fulani
 
Kwahiyo ukiwa safarini na gari yako upo njiani utaangalia TV?
sorry mkuu hata nyumbani nikiamua kusikiliza mpira kwa redio kutokana na mood yangu ya siku iyo bado Kuna mtu atakuja kunishangaa kwamba uyu jamaa vipi matelevisio yapo kibao ila jamaa anasikiliza mpira kwa redio??🤔
 
ok sawa kabisa,ila wewe redio unaisikiliza kwa vionjo vingine na utashi wako
 
Mtangazaji anasema gooooooooooaaaaaaaaaalllll anaivuta kama dakika mbili hivi na wewe unashangilia alafu unaskia anasema "Namna gani pale alibaki na kipa lakini kakosa"
 
Kuna wapumbavu niliwakuta mpira wanaangalia kwenye Tv ila mtangazaji wanamsikiliza wa kwenye radio kisa kwenye Tv unatangazwa kwa kingereza sasa eti wakawasha radio kumsiliza mtangazaji wa kiswali , matukio ya kwenye Tv yako mbele mtangazaji wa radio nyuma kwahiyo wanaanza kwanza kuona goli alaf baada ya sekunde kama 30 ndo kwenye radio linashangiliwa
 
Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Kawaida tu, ni sawa na kusoma gazeti wakati smartphone unayo???
 
Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?

Nadhani kidogo umesahau, kuna watu huwa wanakuwa mbali na TV, sasa kwa watu wa namna hiyo ni lazima watumie redio kusikiliza mpira. Pia sio kila mtu ana uwezo wa kuwa na TV. Na wengine hawapendi kwenda kwenye ma baa au vibanda umiza watu wa namna hiyo husikiliza radio.

Umeongea ki dot com sana aisee.
 
utashi kama umeitumia kwa kumaanisha akili jibu ni ndiyo nasikiliza kwa utashi wangu
Kwani kutizama mechi kwenye TV siyo utashi? Kusikiliza mechi kupitia radio kuna sababu nyingi, wala siyo issue ya kumshangaa msikilizaji. Kuna wengine TV wanazo ila kin'gamuzi kimekata, muda huo mfukoni hana kitu na hapendi kelele za vibandani lazima atafuatilia mechi radioni hata kupitia simu yake.
 
Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Mkikaa hapo mitaa ya msimbazi na jangwani mnafikiri nchi yote internet imefika viumbe dhaifu nyie. Maana ili uweze kuona mpira wa picha mjongeo ni either utumie tv au app za simu ambazo zinataka internet.
 
Kwani kutizama mechi kwenye TV siyo utashi? Kusikiliza mechi kupitia radio kuna sababu nyingi, wala siyo issue ya kumshangaa msikilizaji. Kuna wengine TV wanazo ila kin'gamuzi kimekata, muda huo mfukoni hana kitu na hapendi kelele za vibandani lazima atafuatilia mechi radioni hata kupitia simu yake.
upo sahihi mkuu.
 
Mkikaa hapo mitaa ya msimbazi na jangwani mnafikiri nchi yote internet imefika viumbe dhaifu nyie. Maana ili uweze kuona mpira wa picha mjongeo ni either utumie tv au app za simu ambazo zinataka internet.
Shida ni uwezo wako wa kuelewa hoja,mimi nimetembea nchi hiii kika mkoa na vijiji vingi tu,sasa unapovimbiwa mihogo ya juzi unavuka vuupu na kuandika,tafakari kwanza
 
Pambafff...unamsema mwenzio kuhusu mihogo? Wewe unachambia asali? Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom