Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Na tumejipanga kupambana nao haswa.
 
Mkuu, wapi nimemsifia nani?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Niko pamoja na Mama Samia. Mungu wa Mbinguni akubariki na kukulinda sana Amiri Jeshi Mkuu. Hujaomba kuombewa; tunakuombea utake usitake maana peke yako huwezi.
 
Huna huo ubavu..urais wa peremende hauna misingi ndani ya mioyo ya watu..point blank.
Kifupi tu wenyewe mtaanza kufunga vinywa vyenu kwa sababu hata muongee SAMIA ndiye rais wenu na ndiye mwenyekiti wa CCM ajaye
 
Eti serengeti kuna madini kede kede na yaanze kuchimbwaa, duuuu nimeanza kushtukia huyu madam wenu!
 
Reactions: mmh
Tundu Lissu huko aliko aombe appointment na akutane na Her Excellence. This is very important soonest.
 
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
Hili la kufungua acount kwa ID mpya ni kweli nimeliobserve pia. Hawa walikuwa kwenye ile regime!
 
Watapata taabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaomdhihaki tunawaambia hiviii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Kama inauma Wachomoe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ahahahahaha ni magazeti au viTV🤣🤣🤣,raisi anayetumia akili😂😂😂,hamna kitu hapo
 
Mkuu mbona ushaanza kuchanganyikiwa mapema?
 
Hivi mnapata faida gani kuyajadili haya hata 40 haijaisha.Shida ni nini mbona mnampa tress na kutupa si wengine tress kana kwamba tutashindwa kuendeleza aliyoyaacha?
Nchi hii inakatiba tuweke rekodi sawa kwenye makusanyo ya mwezi huu yapoje?
Uluopita?.
Kama anaamini biashara zimekufa kwa sababu tra wanadai malimbikizo ya miaka 10 nyuma asiseme kuwa malengo ya sasa tra sio makusanyo ya sasa bali ni malimbikizo ya kodi.
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
 
40 ya nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…