Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Hili ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini daima wao wanajiona wananyanyasika tu na ni Wanyonge!!!
Anzia kwa Nyerere utaona tatizo lilipotokea au la ujizime data kwakuwa upo upande unaonufaika
 
TEC wanaamini wakiikamata Serikali wamekamata kila kitu tofauti na uamsho
Hii wamesema TEC au unavyo amini bila ushahidi bali hisia?
Weka ushahidi wa waraka, sauti au video.
 
Kwanini sauti zitoke upande mmoja wewe hustuki?
Nyie ni watu wachache sana katika hizo sauti, waIslam wanaojijua, hawako hivyo, wala hawafikiri kama nyie wachache, nyie wachache tunwaita "useful idiots"; muda kama huu CCM wanawahitaji sana maana mnacheza kusawazisha hali (leverage). Real useful idiots
 
Binafsi sikuunga mkono uamsho na pia siungi mkono harakati za TEC kipindi hiki

Kinachopiganiwa ni kile kile dhamira Ile Ile ila mbinu tofauti

TEC wanaamini wakiikamata Serikali wamekamata kila kitu tofauti na uamsho
Nikichojifunza juu yako.
Unashabikia au unatetea kitu usichojua ukweli. Au unatumia hisia tu.
Au unaujua ukweli ila unapotosha makusudi sababu umetumwa au unalipwa kwa kutetea uovu na kupotosha ukweli.
 
Hii wamesema TEC au unavyo amini bila ushahidi bali hisia?
Weka ushahidi wa waraka, sauti au video.
Yani mtuhumiwa aseme maovu yake wewe umeona wapi?

Kama ndio hivyo kwanini mnapiga rais kuunda tume kuchunguza ya October 29!

Eti TEC waseme ajenda zao wazi wazi hilo wanaliweza uamsho tu kwani wale masheikh sio wanafiki wakipigania kitu husema wazi wazi wanapigania nini
 
Tupo wengi sana tuliosanukia mbinu za TEC wachache tu ndio wanaoathiriwa na hizo propaganda na kucheza ngoma isiyowahusu

Halafu mimi sio ccm ni chadema kindaki ndaki ila kuwa chadema sio kuwa zuzu wa kukubali kila kitu
 
Nikichojifunza juu yako.
Unashabikia au unatetea kitu usichojua ukweli. Au unatumia hisia tu.
Au unaujua ukweli ila unapotosha makusudi sababu umetumwa au unalipwa kwa kutetea uovu na kupotosha ukweli.
Nani ana hati miliki ya ukweli?

Ndio zenu mtu akisema msioyapenda ametumwa na kulipwa
 
Hebu niambie kipindi cha jiwe ukisikia wapi hizi habari za utanganyika? Kwahiyo akiwa mkatoliki mwenzenu ndio raisi utanganyika hufa kwa muda?
Batter late than never though kipindi cha mwendakuzimu hakukuwa na massacre or rather genocide, sisi wenyewe mimi nikiwa miongoni mwa advocates wakubwa baada ya kubaini nyinyi watu wa visiwani mlivyo makatili na wauaji kupindukia na use*nge wenu mkubwa zaidi ni pale mkibanwa kwa points mnakimbilia kete ya udini kwa kuwa” Waswahili wengi hawana elimu wala ufahamu hivyo badala ya kuingia deep to argue critically wanadaka hilo la dini fasta, nawalaumu sana wazazi kwa kutowasimamia wakapata elimu bora wakaweza kujitambua kuliko kuwa manipulated and brainwashed na doctrine za kipuuzi zililetwa na matapeli wa zamani wa Middle East(here I mean both Christianity and Islam).
Your browser is not able to display this video.
 
kipindi cha mwendakuzimu hakukuwa na massacre
Hili unaliandika kwa ufaham wako au wa kuazima?

Mimi nitakuwa bega kwa bega na wewe kupigania Tanganyika yetu kipindi kijacho cha mkatoliki hope hamtabadili gia angani
 
Uhuru wa Tanzania uliletwa na Waislam leo mnawadharau kwa Ukafiri wenu
Hakuna hata Muislamu mmoja aliyeleta uhuru, huo ujinga wapelekee illiterates wenzako kwenye vijiwe vya draft, keram, zumna na karata. Arguments zilipekwa UN baada ya mijadala mikali na protectorates/colonizers by then the UK hivyo vile vibabu vinywa kahawa visingeweza ku-debate na wakoloni wakati hapa tunashuhudia hata nyinyi vitukuu vyao mlivyo brainless just like they used to be.
Uhuru uliletwa na wasomi wanaojitambua baada ya mijadala mikali iliyofika mpaka UN headquarters, shehe ubwabwa gani alienda UN.
 
Ukitaka niwataje wapambania uhuru asilimia 90 ni Waislam na ndio waliokuwa wakazi wa Dar es salaam kabla hamjaja makafiri

Ninyi pamoja na huyo Baba yenu wa Taifa tumekufunzeni kuanzia kujisitiri kwa kuvaa suruali

Wasomi wa kiislam walikuwepo wengi tu akina Fundikira na kina Mwapachu ila walimwachia nyerere hiyo nafasi
 
Sijui hata kama unaelewa unachoandika? Nani kakwambia uamsho walikuwa wanapigania Tanganyika
Nani kasema walikuwa wanapigania Tanganyika?!
Mojawapo ya matokeo ya kuvunjika kwa muungano ni nini kama siyo kurudi kwa Tanganyika?!
 
Ndio tabu tundu la kwenye makalio likisha tanuliwa huwa linavujisha akili
 
Ungejikita kwenye kufafanua hoja yako ili ueleweke
 
Nani kasema walikuwa wanapigania Tanganyika?!
Mojawapo ya matokeo ya kuvunjika kwa muungano ni nini kama siyo kurudi kwa Tanganyika?!
Tutawaunga mkono kuirudisha Tanganyika kipindi kijacho cha mkatoliki hope hamtabadili gia angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…