Just like me . Huwa sipendi kuingilia faragha za watu the same na mimi Sitaki kuingiliwa... Kuna watu wanakosa adabu kama mbwa Koko . Kutaka kujua hadi wapi unapoweka kichwa unapolala.... Noma sanaSipendi pia mazoea ya mtu kunifuatilia na kunitembelea tembelea katika maisha yangu binafsi kama kufahamu mahali makazi yangu yalipo kwa sababu watu wengi ni wajinga hasa Watanzania hawawezi kuheshimu uhuru binafsi wa mtu na kutunza faragha zake ndio maana naona heri maisha yangu kubaki peke yangu pia sina mazoea ya maisha ya watu wengine.
Kwa ufupi mimi ni mimi na maisha yangu tu mtu asiniletee mazoea kupitiliza yeye,wao wabaki na maisha yao kwa sababu kwangu hayana umuhimu kujua yao.
TrueHiyo ni nature ya binadamu hasa mwanaume. Usione ni tofauti, ukiona unapenda kukaa na mtu masaa 10 ujue una shida ya akili. Utakuwaje productive? Wenzetu wana mambo mengi na pia asili yao inabidi kuwa watu wa kukaa na mtu muda mrefu.
Can you imagine kukaa na watoto siku nzima? Yani mwanaume ushinde na watoto siku nzima utaweza?
Hii mambo ni nature... Ukitaka kujua hilo angalia watoto wakizaliwa mpaka wanakua.
Ukijua parten ya jinsia hutajiangaisha kukaa na watu masaa 6.
Anyway nipo hapa saa la 8 nimekaa mwenyewe nakula music and I am very okay..
Kuna muda hata kupigiwa simu naona kero.
Well saidWatanzania wengi wanapenda sana kubwabwaja, kupiga domo na kuongea ongea pumba!!!
Ukiwa mtu wa hivyo una enjoy sana na yatakuepuka mengi sana.....ingawaje utaonekana unaringa au unajisikia lakini ni kheri ya hivyo!!!!
The sameMimi hata siku 3 freshy tu, heri nishinde jf kuliko kuonana na watu🤨
nitoe mimi mkuu🤣🤣🤣,, Kwani comment yangu hauja iona alaaaaJf kila mtu atajifanya yupo hivyo😅😅 oeni na oleweni kitanda sio kaburi mpaka ushinde mwenyewe na upweke na sio sifa, ni dalili za ukichaa huo😅
Hahaha humu kila mtu mkimya😅nitoe mimi mkuu🤣🤣🤣,, Kwani comment yangu hauja iona alaaaa