Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Follow your inner voice, kweni watu wako ndani ya matamanio yako na unachoona wewe kinakufaa? Hii ni kusumbua watu tu na hizi mada dhaifu
 
Back
Top Bottom