Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Single mothers ni pasua kichwa ndio maana hawaoleki. Jaribu kuoa mmoja akupasue kichwa!
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
naziona nyege zikipambania kujipata yaani mwanamke kazaa na mtu kaachwa ww unamuona mzuri unasifiaaa kama ndio dem wa kwanza kiufupi jamaa akija atatomber kama kawaida .
 
Kama haya ndio mawazo yako unasita (ACHA) sababu hata kama wamefanikiwa asilimia 100 itakuwa sio wewe...

Issue sio Single Mother hata asiye mama nina uhakika asilimia kubwa sio the First; Issue ni Maturity ya Mtu anayeingia kwenye hayo mahusiano lazima awe tayari na mwenye Hekima na Busara... (Sababu what is at Stake sio Maisha yenu Wawili) bali kiumbe kingine ambacho uzembe au upuuzi wenu unaweza ukafanya maisha ya kiumbe hicho kukosa raha....

Again narudia wewe haupo tayari kuingia kwenye hayo mahusiano (ungekuwa tayari usingeuliza bali ungekuja kutetea)
 
Mdogo wangu, acha nikishauri kidogo.

1. Ndoa sio suala la kutafutia ushauri
Hapa naona vijana wengi wanaingia mkenge kwa kudhani kuwa kuoa na kuolewa ni suala la National Assembly yaani ushauri na majadiliano. Ndoa ni yako, maisha ni yako. Ukifika muda wa kuoa na ukajiona kuwa upo tayari kuoa na ukiwa umepevuka namaanisha ''matured'' huna haja ya kutafuta ushauri wa lini uoe wala umuoe nani.

2. Suala la kuoa mwanamke mwenye mtoto

Labda nikuulize, mwanamke akishazaa huwa anapungukiwa nini mwilini mwake? Kuzaa kwa mwanamke inamaanisha tu kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na mtu, akapata ujauzito na hatimaye akazaa. Hilo tu.
Kinachowatofautisha wanawake waliozaa na wasio na watoto ni jambo moja tu; hawa wenye watoto wana ushahidi wa mahusiano yaliyopita na kubeba mimba ambazo walizitunza na hatimaye kuzaa.
Nikueleze tu; wanawake wengi ambao hawana watoto, waliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kabla ya kukutana na wewe, wengine waliamua kutumia njia za uzazi wa mpango ili wasipate mimba, wengine walipata mimba na kuitoa ili kutunza unafiki wa kuonekana kuwa hawajapata mimba nje ya ndoa.

Sasa basi, kama kuna mwanamke unaona kabisa anafaa kuwa mke na ana mtoto, tatizo ni nini?

Najua hofu ya vijana ''eti atakuwa na mahusiano na baba mtoto''; kwanini huwa mnafikia tamati kuwa lazima wataendeleza mahusiano?
Wapo ambao wameamua kuachana na wakiingia kwenye ndoa wanabaki kuwa waaminifu kabisa.

Nikuulize swali, unafahamu ndoa ngapi ambazo wanawake na wanaume wanaendeleza mahusiano yao ya kimapenzi ya zamani na hawana watoto?

3. Akili za kuambiwa changanya na za kwako

Hapa kuna mtego unauingia bila sababu, kwanini unatafuta ushauri juu ya aina ya mwanamke wa kumuoa? Huyu mwanamke unaoelea familia ama ni kwa ajili yako?
Embu nikuulize; mpaka hapo ulipofika hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake wengine? Hao wanawake wapo wapi kwa sasa? Huko walipo hawana mahusiano na wanaume wengine?

Jambo la muhimu katika ndoa ni uaminifu, heshima na kuthaminiana.
Nikuambie tu kuwa kwa mwanamke kutokuwa na mtoto sio kigezo cha yeye kuwa mke bora, hali kadhalika mwanamke kuwa na mtoto sio kigezo cha yeye kushindwa kuwa mke bora na kujenga familia.
 
Binafsi siwezi kuoa single maza wanachangamoto nyingi sana hawa watu nina vivip eample za wengi tu naaomba wanisamehe kwa kweli

Niliendaga kwa maza angu mkubwa fulan kipindindi sijaoa kwenda kumshrikisha habari za kuoa singlemaana tulikuwa tunaivana sana maza alinitukana na kunifukuza kwake akaniambia nisikanyage kwake kama nitaoa single maza eti na uhandisam wangu nimeshindwa kupata binti mbichi wa kumuoa n.b na na yeye alikuwa single maza kabla faza hajamuoa .
Akili ya kuambiwa usichanganye na ya lwako zitakuvuruga
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.
Oa tu inaonekana umedhamilia maana umasema kila uliyemshirikisha anakwambia kimbia ila unatafuta mmoja wa kukusapoti... oa ila jua una mwenzio.. yeye kukusikiliza na kuonekana ndiye unachotaka ndio mtego huo...
Je ni kwa nini hakuolewa na aliyezaa nae??? Anasemaje kuhusu hili??
 
Sio kweli davinc, hasa kwa wazazi hawa wa mjini ambao wengi wao wanapenda sifa waonekanaje kwa marafiki zao, mfano mzuri ni Mimi, Mother alinitafutia mchumba ambae yeye kwa maono yake anafaa kuolewa, tena kwa sababu anamuona kanisani jinsi anavyojitoa n.k Binti ni mzuri, Mimi kwenye maongezi na huyo binti nikaona hapa hakuna kitu, Binti mjuaji then washikaji wakanambia jinsi ambavyo hajatulia nikapiga chini, basi nikatafuta mchumba mwenyewe kutoka kigoma huko Tena alikua bikra maana Binti kwenye harakati za kunihakikishia hajapigwa ikabidi iwe hivyo, japo sikuitoa nilipompeleka nyumbani wazazi wakamkataa kisa muonekano wake sio mzuri/elimu n.k unaelewa? Kwahiyo kwa wazazi wa sasa sio wazazi woote wanafaa kua washauri kwenye upande huo, ndio maana sasahivi nafanya mambo yangu bila kuwashirikisha kwa lolote.
wanamkataaje wakati wewe ndo unaeoa halafu pia ujaona kabisa ikifanyika rational judgement ilitakiwa wamkubali kuliko huyo waliokuchagulia.

hukumuoa huyo ulomchagua?
 
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.

Lakini Kila niliemshirikisha ananiambia nikimbie mbio nyingi nisirudi nyuma, Wala nisijaribu kumuonea huruma, lakini nimefanya research watu wanaongoza kuachana ni hao hao ambao hawakuoa single mother,

Unaweza pata mwanamke bikra na bado mkaachana tu, una uhakika gani huyu mwanamke uliyenaye hajawai kuchoropoa mimba au kutumia P2/ majira kwenye maisha yake?

Kuna wengine wanaingia kwenye usingle mother kwa sababu ya mistake ndogo ndogo 😁😁..

NB, jamaa aliemzalisha anafamilia yake, alitumia advantage ya dogo kwa umaskini wake kumrubuni kupata kazi.

Nioe au nikimbie mbio nyingi sana.waweza kuoa Single mother lakini SINGLE MOTHER HUYO UMEMTOA WAPI ?MLIKUTANA WAPI ? Kama wakuokotana Kimbia lakini kama ni single mother mwenye kujielewa Usikimbie sio kila single mother ni majanga
 
Back
Top Bottom