MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Swali la kimkakati ukiwa mpuuzi usikurupukeSwali kama hilo huulizwa na mjinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kimkakati ukiwa mpuuzi usikurupukeSwali kama hilo huulizwa na mjinga tu
😀Hebu fafanua
Wakati najiunga Jf ndio nilikua nipo chuoWewe ni mvulana wa chuo?
Wanawake wote walikuwa bikra lkn 89% ni janga la duniaKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Nakazia...mbumbumbu😀
Aisee!
Ndo kusema huu uzi ulitaka tufafanue aina za bikra na mahali zinapatikana😀
Kulingana na uzi mi naona mwanamke anaeolewa bikra ni mbumbumbu, hana mchango chanya kwenye ndoa zaidi ya hiyo bikra yake.
Samahani kwa kusema 'MBUMBUMBU'🤗
Hizo Bikra wanaotoa si ndo hao hao wanataka kuoa bikraBikra ni muhimu Sana inaonesha jinsi gani mwanamke anatunza utu na dhamani yake.Tulitakiwa kuwaasa na kuwasisitiza watoto wetu wa kike wajitunze na sio kuwaambia Ndoa haijengwi na Bikra.
🤣🤣🤣uzuri zinauzwa,wacha nkanunue moja,kwa mujibu wa comments za humu wababa wote mwataka utepe
Upo serious kwa huo mtazamo wako?Kulingana na uzi mi naona mwanamke anaeolewa bikra ni mbumbumbu, hana mchango chanya kwenye ndoa zaidi ya hiyo bikra yake
KumbeMimi nilioa mke bikra mpaka leo sijawahi kuona chembe chembe za kutoka nje, mke bikra ana uzuri wake asikuambie mtu.
Upo sahihi kijana hii na ushahidi ninao mwenyewe kuna mdada niliwahikudate naye alikuwa kipindi ndoa yake imevunjika na huyo mumewe aliyembikiri aliolewa wakati amemaliza form ivSiku hizi ukipata mwenye tabia njema shukuru Mungu, mambo ya bikra ni bahati nasibu kama ilivyo shape na rangi.
Kuna demu ana watoto 3 lakini mume aliemuoa kamkuta na bikra.
But maamuzi ya kutolewa yanabaki kuwa ya mwanamkeHizo Bikra wanaotoa si ndo hao hao wanataka kuoa bikra
utaonaje km ana akil kubwa? kwan we ujawah kucheat tangu umeoa? ye alijua? izo siri za mtungi wenye ndoa wanalika sana tu ten jiran jiran umo umo na wa2 mnaoeshmian nao sem kwa akil kubwa tuMimi nilioa mke bikra mpaka leo sijawahi kuona chembe chembe za kutoka nje, mke bikra ana uzuri wake asikuambie mtu.
Ulitaka uwatete kina nani?nilitaka niwatetee lakini nikikumbuka nilivyoitwa mchimba chumvi enzi nabeba tofali sina hamu. mpambane na hali zenu. sisi mnatubagua na sisi wacha tuje na masharti na vigezo kuzingatiwa
Lini hiyo?Wanawake wote walikuwa bikra lkn 89% ni janga la dunia
Mimi sipo serious kihivyo Mkuu..Upo serious kwa huo mtazamo wako?
Hayo ni mawazo yako wewe, mimi nakuambia ninao ona kwangu, buana ni cheat na tafuta nini tena wakati naridhika 95%utaonaje km ana akil kubwa? kwan we ujawah kucheat tangu umeoa? ye alijua? izo siri za mtungi wenye ndoa wanalika sana tu ten jiran jiran umo umo na wa2 mnaoeshmian nao sem kwa akil kubwa tu
Bado una una uvulana mwingi, siku Ukikua utaacha maswali ya kivulanaWakati najiunga Jf ndio nilikua nipo chuo
Wacha bwanamwanamme hana bikira.
Wewe utakuwa umeishazibuliwa mtaro ndo maana hujui thamani ya bikra!Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.