Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.

Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.

Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.

Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."

Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.

Mungu awaondolee ujinga.
Wanawake wote walikuwa bikra lkn 89% ni janga la dunia
 
😀
Aisee!
Ndo kusema huu uzi ulitaka tufafanue aina za bikra na mahali zinapatikana😀
Kulingana na uzi mi naona mwanamke anaeolewa bikra ni mbumbumbu, hana mchango chanya kwenye ndoa zaidi ya hiyo bikra yake.
Samahani kwa kusema 'MBUMBUMBU'🤗
Nakazia...mbumbumbu
 
Siku hizi ukipata mwenye tabia njema shukuru Mungu, mambo ya bikra ni bahati nasibu kama ilivyo shape na rangi.

Kuna demu ana watoto 3 lakini mume aliemuoa kamkuta na bikra.
Upo sahihi kijana hii na ushahidi ninao mwenyewe kuna mdada niliwahikudate naye alikuwa kipindi ndoa yake imevunjika na huyo mumewe aliyembikiri aliolewa wakati amemaliza form iv
 
Mimi nilioa mke bikra mpaka leo sijawahi kuona chembe chembe za kutoka nje, mke bikra ana uzuri wake asikuambie mtu.
utaonaje km ana akil kubwa? kwan we ujawah kucheat tangu umeoa? ye alijua? izo siri za mtungi wenye ndoa wanalika sana tu ten jiran jiran umo umo na wa2 mnaoeshmian nao sem kwa akil kubwa tu
 
nilitaka niwatetee lakini nikikumbuka nilivyoitwa mchimba chumvi enzi nabeba tofali sina hamu. mpambane na hali zenu. sisi mnatubagua na sisi wacha tuje na masharti na vigezo kuzingatiwa
Ulitaka uwatete kina nani?
 
utaonaje km ana akil kubwa? kwan we ujawah kucheat tangu umeoa? ye alijua? izo siri za mtungi wenye ndoa wanalika sana tu ten jiran jiran umo umo na wa2 mnaoeshmian nao sem kwa akil kubwa tu
Hayo ni mawazo yako wewe, mimi nakuambia ninao ona kwangu, buana ni cheat na tafuta nini tena wakati naridhika 95%
 
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.

Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.

Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.

Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."

Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.

Mungu awaondolee ujinga.
Wewe utakuwa umeishazibuliwa mtaro ndo maana hujui thamani ya bikra!
 
Back
Top Bottom