Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

Kuna PUMBA wengine eti? hawaoi kabisa shida yao sijui ni nini? Nautasikia wamelawiti watoto huko sasa si waoe tu .. mpaka wanalawiti watoto kwa nini? Sasa
 
Sio tamaa mkuu ni nature inatutaka ivyo wanaume,,, na kwa mwanaume penzi linagawanyika vizuri tu kwa wanawake wanne sio mbaya uzuri ni wote tu waelewane maisha yanakua mazuri sana mkuu.
Lazima kuna mmoja anakuwa moyoni zaidi ila kwa wengine zinakuwa tamaa za Mzee fisi
 
Lazima kuna mmoja anakuwa moyoni zaidi ila kwa wengine zinakuwa tamaa za Mzee fisi
Hapana Mkuu wanaume tunajua kugawanya upendo wa dhati kwa wanawake ata wanne mbon kawaida sana tu,,, ila kama wanakua michepuko iyo nd tamaa ila kama unaoa m noana ni sawa ingawa RC tunanyimwa iyo haki ila ikinipendeza nitaoa wawili lakini kwa makubaliano na mke wa Kwanza and i know ntahandle wote vizur tu.
 
Kuna PUMBA wengine eti? hawaoi kabisa shida yao sijui ni nini? Nautasikia wamelawiti watoto huko sasa si waoe tu .. mpaka wanalawiti watoto kwa nini? Sasa
Hiyo nyingine sasa kila siku wababa wanabaka watoto majumbani na kulawiti huku wanawake zao nyumbani hapo hapo, kuoa au kutokuoa sio sababu yakulawiti watoto wa watu ni tabia tu kama vile mende
 
Hiyo na kataa mtu hawezi sema ila anakuwepo anayemkuna zaidi
 
Hiyo nyingine sasa kila siku wababa wanabaka watoto majumbani na kulawiti huku wanawake zao nyumbani hapo hapo, kuoa au kutokuoa sio sababu yakulawiti watoto wa watu ni tabia tu kama vile membe
Yaaah ni sahihi Mkuu iyo ni hulka ya mtu binafsi ata akiwa ameoa anaweza kulawiti ata mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…