Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

Hakuna chochote zaidi ya ubinafsi wa sisi wanaume.

Sina hamu na hamu na mauzauza yanayoendelea kwenye familia mbili za ndugu yangu mmoja. Mke mkubwa na mke mdogo.
Roho mbaya za wake wakubwa ni shida huwa na viburi na kutaka kukudhibiti huku huduma nyeti za ndoa zikiwa mbovu.
 
raha sana, ni vile watu hawajui tuu, ni mwendo wa kujipigia three some tuu.

tena hata wanne ndo raha zaidi, tena inaongezeka raha zaidi mkiishi nao wote nyumba moja.

mkikaa wote sebleni kwa upendo huku mkipata kinywaji baridi inapendeza zaidi.
 
hata wanne bado ni wachache. Hiyo ndio iwe kiwango cha chini.

Kweli mkuu mila zetu unaoa idadi bila kikomo, hizi dini na imani za kuja toka huko Mashariki ya Kati pia Ulaya za kutudumaza kitadumuni na kiakili kuwa mara oa mmoja tu au wake wanne siyo mila za babu na bibi zetu .

Tujivunie mila na desturi zetu asilia za bara letu Afrika, tuachane na kuigiza za watu wengine waliokuja kwa majahazi na merikebu toka huko makwao kuja kuita mila na desturi zetu za kishenzi au siyo za kiungwana wala ustaarabu.
 
Umenena mkuu,waturuhusu nasi wanawake kutest radha mbalimbali.
 
Asili ya kimaumbile haiwezi kukwepeka, ni vigumu sana kumkuta mwanaume mwenye mke mmoja kwa maana ya kwamba alipozaliwa amesubiri mpaka akaoa na hajihusishi na mwanamke mwingine zaidi ya huyo, angalau kwa wanawake wanaweza.
 
Sawa kabisa Wanawake ni Maua [emoji254][emoji816][emoji890][emoji1651][emoji257][emoji272][emoji255] utakuaje na ua moja ukaridhika
 
Back
Top Bottom