Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

Kubalance unaweza lakini moyoni yupo mmoja ambaye ni namba moja kwako
Hapana mkuu yan hadi moyoni wote wanakua sawa kabisa iyo tunaweza wanaume ila wanawake hawawezi nd nature ilivyo mkuu
 
Ukiwa na uwezo wa kuwatimizia mahitaji yao yote we oa tu Ila km huna Bora utulie usiwatese watoto wa watu ,usawa huu mke mmoja tu na watoto kulea shughuli
 
unakuta jamaa halitaki kuoa wake wengi na linashupaza shingo kweli kupinga, huku lina mke na vimada nane permanent bado wale wa kupiga na kuacha....
 
From the Man's Point of View, I guess the other side will beg to differ.....

Ila logically sidhani hata kama ndoa ni logical (till death do us part)..., ila ukienda kwa uwiano One man for One Woman pia is illogical sababu the numbers don't add up (hakuna wanawake sawa na wanaume)
 
Nimegundua haihitaji kumpenda mwanamke inahitaji umjali...

Kumpenda ndio huko mara umeua, umekufa kwa depression, mara sijui nini
 
Hakuna chochote zaidi ya ubinafsi wa sisi wanaume.

Sina hamu na hamu na mauzauza yanayoendelea kwenye familia mbili za ndugu yangu mmoja. Mke mkubwa na mke mdogo.
 
Back
Top Bottom