Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kule hawana 80% na mafao chungu nzima kama huku?Zuma habari nyingine. Zile dola alizoambiwa arudishe naona aliiba ili amudu gharama za kulea wake zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule hawana 80% na mafao chungu nzima kama huku?Zuma habari nyingine. Zile dola alizoambiwa arudishe naona aliiba ili amudu gharama za kulea wake zake
Inawezekana yasemwayo yapo...Kwenye hela hivi viumbe havichukii kitu.
Hilo hata Mungu kalielezea kwenye Quran kuwa huna makosa mwanaume ikiwa upendo wako utampenda mmoja zaidi ya mwingine..kinachotakiwa ni uadilifu katika kuwapa zamu..Ikiwa huku unaenda kulala siku moja na kule ukalale siku moja...Suala la mapenzi lipo ndani ya moyo na huna uwezo wa kulicontrol.Penzi haligawanyiki kuna mmoja anayependwa zaidi ya wengine!
Haifai kufanya mapenzi na wanawake wawili kwa wakati mmoja....kuna hekima kubwa ndani yake. Katika maumbile ya wanawake wawili kuna tofauti mbalimbali ambazo zitakupelekea kuupendelea sana upande mmoja katika kuugonga zaidi ya mwingine hapo inapelekea mmoja kumuonea wivu mwenzake...So unatakiwa ugonge mmoja at a time! Ukimmkojoza mmoja vya kutosha , baadae unaenda kwa mwingine nae kivyake.raha sana, ni vile watu hawajui tuu, ni mwendo wa kujipigia three some tuu.
tena hata wanne ndo raha zaidi, tena inaongezeka raha zaidi mkiishi nao wote nyumba moja.
mkikaa wote sebleni kwa upendo huku mkipata kinywaji baridi inapendeza zaidi.
Hata wake wadogo wanafeli mara nyingi tu.Roho mbaya za wake wakubwa ni shida huwa na viburi na kutaka kukudhibiti huku huduma nyeti za ndoa zikiwa mbovu.
Ayubu yupi wakwenye Quran? Maana Bible haina mtoto wa Ayubu aitwae Yusuf! Ukiona mtoto anapendwa kuzidi wengine ujue na mama yake anapendwa vile vileHilo hata Mungu kalielezea kwenye Quran kuwa huna makosa mwanaume ikiwa upendo wako utampenda mmoja zaidi ya mwingine..kinachotakiwa ni uadilifu katika kuwapa zamu..Ikiwa huku unaenda kulala siku moja na kule ukalale siku moja...Suala la mapenzi lipo ndani ya moyo na huna uwezo wa kulicontrol.
Ni maumbile ya mwanadamu katika vitu viwili ukakipenda kimoja zaidi hata watoto wako yupo mmoja unaempenda zaidi ya wengine..ipo hivyo na si dhambi kikubwa uadilifu tu..hata ayubu alimpenda sana mwanawe yusuph kuliko watoto wake wengine
Ivunje tu hiyo hoja [emoji3] au ipo kama katiba ya TZ amabayo haitaki kuvunja muungano kinaa?Aliyekuja na hoja ya mke mmoja ni fala sana.
Mama d anasema kuwa wenye matiti makubwa yanaitwa cowbell🤣🤣🤣🤣🤣Kwa wakristo someni biblia hususani agano la kale mtajua jinsi real men walikuwa wakimiliki wanawake wangapi...men ni progenator hatuna likizo na our libido siku zote ipo juu na pia tumeumbwa kutamani ..so ktk hao wanne mfano jaribu kumix sampuli tofauti...mwenye tako kubwa, mwembamba, mweusi, mfupi, mrefu, mwenye miguu ya bia, mwenye matiti makubwa, mwenye matiti madogo alimradi nafsi yako itulie usifanye uzinifu
Ndio ajitume zaidi sasa...ukimbwela unachwa anaingia mwengine mwenye kupambana..Alafu angekuwa na wivu asingekubali kuolewa ndoa ya wake wengiHaifai kufanya mapenzi na wanawake wawili kwa wakati mmoja....kuna hekima kubwa ndani yake. Katika maumbile ya wanawake wawili kuna tofauti mbalimbali ambazo zitakupelekea kuupendelea sana upande mmoja katika kuugonga zaidi ya mwingine hapo inapelekea mmoja kumuonea wivu mwenzake...So unatakiwa ugonge mmoja at a time! Ukimmkojoza mmoja vya kutosha , baadae unaenda kwa mwingine nae kivyake.
Penzi haligawanyiki kuna mmoja anayependwa zaidi ya wengine!
Hilo sikatai ila yakusema eti wote watapendwa sawa a a hakuna kitu kama hichoNi sawa, sio lazima kuwe na USAWA…. kila mmoja atapata atachopata.