Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Ni Kwa vipi Stress zinachangia?
Na Stress zenyewe ni zipi? Za Uchimi,kukosa kazi?...
Soma taratibu Mkuu utanielewa...nimeandika virusi vya Corona vinaathiri kinga ya mwili kama ukimwi unavyoathiri pia (this is the core).

My take: Pamoja na usafi bado tunapaswa kula vizuri ili kuinua kinga zetu za mwili.
Nimeandika pia tuachane na stress siyo kwamba stress inachangia mona kwa moja ila inaweza kuathiri sana mtu na kumfanya kuwa susceptible to any diseases.
Tujadili core issues kwanza.
 
Hili swala limenikuta,japo upande wa taste nipo vzur.
Ila kunusa kumekufa, kama nashindwa kuhisi hata harufu ya spirit hii imeniogopesha.

Ila niko poa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nanusa kitunguu maji, muda wote nipo nacho,
Siku ya 5 sasa leo, mambo bado

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Me bado pia, na ladha ya chakula imeanza kupotea ni stress sasa
 
Mpaka sasa watu milioni 2 duniani kote kwa wiki 3 hizi wameripoti hili tatizo,

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hewa tunayovuta.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Mungu wangu mbona hatari
 
Mkuu vipi hiyo hali imeisha? if yes ulitumia njia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitunguu swaumu, tangawizi, castor oil, malimao, asali, apple cider vinega n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu STUNTER kwa kufikisha 80%. Unaweza kushea namna ulivofanya mchanganyiko wake? Naamini itatusaidia wengi.

So far nimechanganya maji moto + apple cider vinegar + asali ambayo wanasema matumizi ni mara 1 kwa siku, nimeshaipiga io tayari.
 
Please, self Isolate... likely ni Corona.. symptoms zinavyokuja huwa hazina formula.. kama umetembelea areas zenye local transmission, especially Europe na una flu like symptoms.. Isolate yourself to protect your loved ones.

Jitibu dalili: maji ya uvugu yenye chumvi kusafisha koo.. Kula vizuri, tumia dawa za mafua (anthistamine). tumia vyakula vya vitamin c kwa wingi.. pumzika

Mimi ni medical personnel, ninajifunza alto through webinars na maandiko ya wenzetu.. kitu ambacho naamini WHO wanahitaji kukiongeza katika kumtambua mgonjwa wa Corona ni hii hali ya kukosa sense of smell and test

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siku ya 5 Leo sisikii harufu yoyote na sina mafua Wala kikohozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…