Kwa kweli maan hali ishakuwa tete sasaMtaani watu wana mafua na kifua sana,sa hivi karibu kila mti anaumwa hvyo.hata ukienda hospital unastaajabu wengi wanamatatzo common.
Nafikiri kuna la ziada lapaswa kufanyika
Asante sana kwa kushare hii, hope itatusaidia wengiMaendeleo kwa siku ya 7:
Hadi kufikia unafuu wa 30% nimetumia:-
1. maji vuguvugu kikombe kimoja + apple cider vinegar (1 tablespoon)+ asali (1tablespoon) mara 1 kwa siku (vinegar inashauriwa usitumie zaidi ya kipimo hicho kwa siku).
2. maji vuguvugu + limao + tangawizi
3. kitunguu swaumu ponda ponda, tia kwenye maji, chemsha kunywa
4. dawa za hospitali; kifua (amoxicillin), mafua (cetrizen), aleji (prednisolone) + isoryn nasal drops.
Kimsingi nipo serious sana na hili suala, nipo sehemu sichangamani na watu na nimesitisha masuala mengine. Tuendelee kushauriana ndugu zanguni tuone tunafikiaje lengo. Kwa uwezo wa Mungu naamini tutafanikiwa.
Pole mtoto mzuri.Mwenzangu naogopa
Kweli mkuu,I vant naona kama maji,nikinywa naiskia kwenye koo tu.Hahaha serious mkuu? Basi tatzo lako ni kubwa, me chumvi na sukari naviskia. Ila baadhi ya vyakula siskii ladha
Pole sana mkuu, jitahidi kunywa chai ya tangawizi na ndimu iliyokolea vzuri.Kweli mkuu,I vant naona kama maji,nikinywa naiskia kwenye koo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina mafua wala sikohoi,ila siwezi kunusa wala sisikii taste kwenye ulimi,napiga dozi ya malimao daily sina nafuu paka leo siku ya tano.Mie nilikaa wiki mbili sisikii harufu wala ladha ya msosi harufu pekee nilikua nasikia moshi wa kuni sema nauona mkali puani hata nikikaa mita 3 kutoka kwny kuni...
Pua ilikua inaziba ila mafua hakuna sema fulu kukohoa...
Nikameza applicix afu nikasaga kitunguu saumu na limao na asali na kusukutia kwa chumvi kila mara naona nimepata nafuu harufu imerudi na msosi pia nasikia ladha na kifua nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo dozi yangu jioni na asubuhi dailyPole sana mkuu, jitahidi kunywa chai ya tangawizi na ndimu iliyokolea vzuri.
Basi hope utapata nafuu, usiache dozi
Naona kila mtu anapewa predlisone sa hivi japo kwa wenye gesi/vidonda vya tumbo ni mtihan sana.Maendeleo kwa siku ya 7:
Hadi kufikia unafuu wa 30% nimetumia:-
1. maji vuguvugu kikombe kimoja + apple cider vinegar (1 tablespoon)+ asali (1tablespoon) mara 1 kwa siku (vinegar inashauriwa usitumie zaidi ya kipimo hicho kwa siku).
2. maji vuguvugu + limao + tangawizi
3. kitunguu swaumu ponda ponda, tia kwenye maji, chemsha kunywa
4. dawa za hospitali; kifua (amoxicillin), mafua (cetrizen), aleji (prednisolone) + isoryn nasal drops.
Kimsingi nipo serious sana na hili suala, nipo sehemu sichangamani na watu na nimesitisha masuala mengine. Tuendelee kushauriana ndugu zanguni tuone tunafikiaje lengo. Kwa uwezo wa Mungu naamini tutafanikiwa.
Me nilipata takriban wiki nne zilizopita. Hali hio iliendelea kwa takriban wiki moja ikaja kuisha yenyewe.Wakuu tunaomba mtu aliyekuwa na changamoto ya kutaste na kunusa na amepona au amepata nafuu, atusaidie humu amefanyaje fanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina mafua wala sikohoi,ila siwezi kunusa wala sisikii taste kwenye ulimi,napiga dozi ya malimao daily sina nafuu paka leo siku ya tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia dawa gani kujitibu mkuu?Me nilipata takriban wiki nne zilizopita. Hali hio iliendelea kwa takriban wiki moja ikaja kuisha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa hali ilivyo sasa, ni muhimu kupima mapema, wasipuuzieSio Bongo tu, hata Uingereza na nchi nyingine ni hivyo hivyo, bado hawaihesabii hiyo hali kama ni sababu ya kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
Miki sina mafua wala cough,ila siwszi kutest wala kunusa kabisa,toka jumanne..ina lola sana though sijapanic..Nashukuru mimi kwasasa nimepona kabisa.
Ni kipindi kigumu ila nimefanikisha yote kwa dawa za asili tu.
Nitakuja kuelezea njia nilizotumia kila kitu mpaka kupona.
Sent using Jamii Forums mobile app