chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureHizi dalili za huu ugonjwa.muda mwengine unajihisi unazo wakati hata hauna..
Mkuu corona ni clinical finisher,Kama haupo ndani ya kumi na nane haina shida sana,Ila jisikie hivyo harafu kasalimie wazee wako Kama wanaumwa umwa,ndo utajua Covid- 19.Wewe unadhani magu haipendi Dar?
mkuu Nini hii?Duh ulicho andika ndivyo ninavyo hisi nina mafua ambayo mtu hawezi juwa leo ni siku ya 3 nimesogelea mafuta ya taa sihisi arufu kabisa asubuhi nimetafuna tangawizi siku hisi ukali wa tangawizi kabisa! MUNGU NI MWEMA LITAPITA!
Sikupata hio hali koo lilikua sawa tuOk mkuu na vp je kwenye koo kama kuna kitu kimekwama iyo hali iliisha lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana sema ni dadili za corona mkuu! Nilikuwa nikimeza mate kuna kitu nina hisi kipo kwenye Koo naona kimepungua!mkuu Nini hii?
Mkuu ulivyoongea hapo yani kama waniongelea mimi kabisaaa,hii vitu kupita pita kooni ni nn?Habari,
Me nilipata kupitia mkasa wa kukosa ladha na kushindwa kunusa, lakini nilipambana nikatoka huko pia kichwa kuuma bila sababu maalumu na makamas ya kuganda puan kwa muda mrefu. Hivi sasa nina dalili mpya siumwi kabisa kabisa sina mafua wala kikohozi wala kichwa kuuma ila ndani ya koo langu nasikia vitu kama wadudu wantembea hata nikijaribu kukohoa kama kutoa kohozi yanatoka mate, pia napata hali kama ya kutafuta hewa kwa tabu kidogo lakini sio sana na kifua kama kubana...
kwakweli nadhani ni virus hao wa covid 19 ila mkuu tumia dawa mimi hapa mduu nackia vitu vitu vinatembea kwenye koo ila kutokana nilikunywa dawa asubuh mda huu nackia kwa mbali vinatembea tembeamkuuu ulivyoongea hapo yani kama waniongelea mimi kabisaaa,hii vitu kupita pita kooni ni nn?
Dawa gani kamanda, hebu nipe mwangakwakweli nadhani ni virus hao wa covid 19 ila mkuu tumia dawa mimi hapa mduu nackia vitu vitu vinatembea kwenye koo ila kutokana nilikunywa dawa asubuh mda huu nackia kwa mbali vinatembea tembea
ooh shukrani,ktk ile miti ipo miwili ni upi haswa
Mkuu samahani hapa Dar inapatikana hii dawa au mpaka moshi/ arusha?NDO HUU NIMEKUTUMIA NYINGI HIZ PICHA ILI UWEZE KUUTAMBUA KIRAHISI.HAYO MAJANI YAKE UKIYAKAMUA UNAPATA RANGI YAKE KAMA YA KAHAWA HIVI..
View attachment 1443675View attachment 1443676View attachment 1443678
Unreported Covid19 cases
Wapendwa wenu(family) mmewakingaje? Baada ya nyie hawakuugua pia
Mafua ni kidogo sana na kiukweli mwili unauma na asa joint za mikono na miguu yani kama umepigwa maweYap ila corona sio mafua kama watu wanavyosema, mwili unakuwa unauma yan ngozi inakuwa kama inataka kutoka , pua linakuwa lamoto koo linakuwa kavu yan ni tafran aisee aisee acha
Sent from my iPhone using JamiiForums
dar ipo mbona hii dawa ni kama miti ya asili inayo ota hata kwenye vichaka wakat mwingine unaeza kuta kama maua mtu kapanda nyumbani kwakeMkuu samahani hapa Dar inapatikana hii dawa au mpaka moshi/ arusha?
Sent using Jamii Forums mobile app
+1Hivi mchanganyiko wa hizo dawa zitatuacha salama kweli...mtu unaweza ukapona lakin zikaacha madhara kwenye figo