Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Naomba niulize kwa ufahamu tu. Hivi Wayahudi ni Wakristo?
 
Hivi wakati unaandika hivi unakuwa na akili timamu kabisa?! Kweli kuna watu wanaishi sababu sheria zinabana kufanya mambo mengine.
 
Hebu tupe sababu au chanzo cha wao kupiga hiyo hospitali?
 
Hakuna fumbo lolote.

Mungu hayupo.

Mungu ni fiction character invented by religion.
Uwepo wa Mungu hautokani na maelezo ya dini.Kwasababu imani ya uwepo wa Mungu ilianza kuwepo ata kabla ya dini.Mungu yupo kwasababu ya matendo yaliyopo duniani,Ikiwepo uwepo wa wewe na mimi.
 
Wateule nowadays wanaf*rana na kusagana..... Na Hitler wakati anawapa shurba sijui Mungu wao alikuwa wapi....!!?
 
Ina maana wewe unaijua historia ya Israel kuliko wa-Israel wenyewe... I mean Netanyahu.
 
Uwepo wa Mungu hautokani na maelezo ya dini.Kwasababu imani ya uwepo wa Mungu ilianza kuwepo ata kabla ya dini.Mungu yupo kwasababu ya matendo yaliyopo duniani,Ikiwepo uwepo wa wewe na mimi.
Kama matendo ya duniani ni sababu ya uwepo wa Mungu huyo.

Basi hata Uovu, ukatili, uasi, mabaya, mateso na magonjwa na yenyewe ni matendo ya huyo huyo Mungu.

Na Mungu huyo ni Mkatili sana.
 
Kwanza umbali wa Misri mpaka ilipo Israel sio umbali wa kutumia miaka 40 kufika..

Biblia ni kitabu chenye stori za Uongo sana.
Halafu pata picha mnaahidiwa kutoka Misri kwenda Canaan halafu wote mnafia Jangwani na wanaofanikiwa kufika ni watoto waliozaliwa kwenye hiyo miaka 40 na watu wazima wawili tu Joshua na Kalebu. Je, waliingizwa chaka? Na hata hao watoto hawakufika wote wengine walifia njiani kutokana na vita.
 
Ugekuwa Mkristo sababu ungekuwa unaifahamu na Bible iko wazi sababu ya wana Waisrael kutembea miaka 40 jangwani! Na hiyo ya kwenda utumwani aliambiwa Ibrahim

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wewe K nimeanza kuisoma biblia kiundani kuanzia darasa la nne. Hakuna kitu utaniambia wewe na mchungaji wako.
 
Ukiwa mteule wa Mungu, ni lazima uende kwenye njia yake...

Wateule wa Mungu wanapitia vita kubwa sana, ila wanashinda...

Mungu akiahidi kuwa atakulinda ni kweli ahadi za Mungu ni za kweli...

Israel wao ni Unabii ulishaandikwa ni lazima utimie...
Acha kujidanganya kipuuzi. Wangekuwa wateule wasingekuwa wanatangatanga hovyo. Hawa viumbe hata kwenye biblia stori zao nyingi ni za mahangaiko. Kiufupi hawana uteule bali laana.
 
Tafakari... Chukua Hatua..
 
Je wao walivyouawa na magaidi ya hammas Mungu alipenda?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wewe K nimeanza kuisoma biblia kiundani kuanzia darasa la nne. Hakuna kitu utaniambia wewe na mchungaji wako.
Ndiyo hayo matusi ndiyo ulikuwa unayasoma kuanzia darasa la nne? Mtu anajua na kuisoma Bible hawezi kutukana matusi.
Halafu sijui wewe una nini maana kama unavyovitaja nawewe unavyo au aliyekuzaa anavyo napata mashaka nawewe !
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Acha upumbavu. Mimi sio mkristo wa kupigwa kofi shavu la kushoto kisha nikugeuzie la kulia.. ukinipiga kofi shavuni basi nakurudishia ngumi ya usoni. Ulivyosema mimi sio mkristo ulikuwa unafikiria nitakujibu kwa kukubembeleza? Pumbavu sana.
 
Usifananishe neno la Mungu na vitu vya kipuuzi, upumbavu wako usikufanye ukavuka mipaka kiasi hicho
Neno gani la Mungu limejaa uongo!

Biblia ni Hekaya za kutungwa kabisa.

Just imagine, Umbali kutoka Misri mpaka Israel ni kilometa 613 tu.

Lakini Biblia inakwambia waisraeli walitumia miaka 40 mpaka kufika Israel..!!!

Yani Biblia ni zaidi ya chai☕☕☕🍃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…