mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
Mpigie simu ROSTAN Muulize jinsi simu zinavyofanya maamuzi atakuambia, umeshahu kesi ya Mwabukusi kule Mbeya kuhusu dipiwedi?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Politicization of the JUDICIARY per excellence.Siku zote ukweli unauma. Majaji wote ni maccm, mapolisi yote ni maccm, tume ya uchaguzi ni ya ccm, na katiba ya mwaka 1977 ni ya ccm!
ππ sio kesi ya ugaidi tena bali ya kuita majaji maccm? Je ile kauli ya Rostam kuwa mahakama ni za simu moja, Rostam atafutiwa uraia?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kwa hiyo asitetee watu wala kujitetea right? Una maana hiyo si ndio? Huwezi kundoa dhulma bila kupambana.Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;
a) Kwanini Lissu aliendelea kuwa Afisa wa Mahakama Kuu akijiua si huru na Majaji wake ni Ma CCM?
b) Kwanini Lissu anakubali kujitetea kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM na mashahidi wake akina Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche wanakubali kutoa ushahidi kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM?
Watumishi watakuwapo wengi tu,humo humo kwenye utumishi na nje ya hapo.Vijana wamesoma baada ya juhudi za kufuta Ujinga kufanyika kwa scale tunazoambiwa.Credit kwa Watanganyika kwa kufanya kazi na kulipia Kodi zetu tumeboresha Elimu.Kama mahakama ni kweli iko hivyo na ushahidi wanao kwanini hawakufungua kesi ya Kikatiba? Yaana unataka kutuambia kama chadema ikiingia madarakani leo itakuja na majaji, askari na watendaji wao wapya kabisa?
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Wapinzani wetu ni wapuuzi, bado tuna safari ndefu kwenye siasa za upinzani. CCM ilikuwepo tangu nchi ipate uhuru, imeenea nchi nzima kuanzia kwenye vitongoji hadi kwenye majiji.Ni haki yake kama hajavunja Sheria
Mfano nakupeleka tu jiran apo Kenya
Kutana na Jaji Mkuu David Maraga
Uyu Jaji kaingia kwenye historia baada kuyafuta Matokeo ya Urais Mahakamani
Wagombea wakuu walikuwa Uhuru Kenyata na Rip Odinga
Tume ya Uchaguzi ikamtangaza Uhuru Kenyata kashinda Uchaguzi
Odinga akapinga matokeo akaenda
Mahakama kuu
Chini ya Jaji Mkuu Devid Maraga
Maraga akayatengua Matokeo yaliompa Ushindi Uhuru Kenyataπ
na kuagiza Uchaguzi wa Urais urudiwe Upya ndani
ya miezi 3π
Ukarudiwa Uchaguzi lkn mshangao Odinga kasusa marudioπ
ivyo Uhuru
Kenyata akashinda tena β οΈ
1) Pesa za Wakenya zikatumika vibaya kuaandaa Uchaguzi lkn mgombea mpinzani Odinga
kasusaβοΈ
2) DEVID Maraga kwasasa yupo Chama cha Upinzani pale KENYA
Mbona hamshangai Kumbe alikuwa na chembe chembe za Upinzani wkt alikuwa Chief Justice wa KENYA βοΈ
Alivunja Katiba? shida yenu nyinyi hamsomi katiba mnaropoka tu mnavyojisikia kuropoka bila kuzingatia sheria mama na sheria nyingine. Utawala wa sheria unakutaka kama unaona jambo sio sawa kwa mujibu wa katiba na sheria uende mahakamani ukalilalamikie jambo hilo. Kama majaji ni maCCM jambo hilo lililamikiwa wapi? na je, ni kosa jaji kuwa mwanachama wa CCM, chadema au ACT kwa mujibu wa sheria zetu?Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.
Kwani wanafata ilani ya chama gani?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Rostam alisema ukienda mahakamani , SIMU MOJA TU.
Mtu akishakuwa Jaji hatakiwi kugombea urais? Mtu akiwa mwanachama wa simba hatakiwi kuwa rais wa TFF? Katiba inasemaje?Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.
Kwahiyo kama kaka yako ni shoga moja kwa moja hata wewe ni shoga pia?Kwanza hiyo kauli haihusiani na kesi inayoendelea mahakamani.
Pili, hiyo statement ni ya kweli na aliyethibitisha ni Jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani (RIP). Wakati anagombea Urais 2015 aliadai alipata kadi ya CCM 1977.
Rostam alisema ukienda mahakamani , SIMU MOJA TU.
Hujui kama jaji joseph sinde warioba alishawai kua waziri?
Tukisema wengine tutasimangwa, angejiosomea hata vitabu vya Edwin Semzaba.
Tuassume umezaliwa juzi usiku au umekuja Tz juzi asubuhi, sikiliza ushahidi wa Heche wa jana, inaonesha ukweli wa kauli ya Lissu π―
Mashahidi wapo chini ya kiapo.
Na ni hatari! Huwezi kumtukana Hakimu,anaweza kutumia mapungufu yake ya kibinadamu kukukomoa.