Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
UShahidi unao si ungeenda kuwasaidia wenzio.Hakuchoma na wala hakuna mtu anabisha hili, lakini aliagiza vijana wake kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na kweli walitekeleza hilo ila kuna sehemu qalifanimiwa na sehemu hawakufanimiwa kuuzuia baada ya kuminywa kisawasawa.
Sasa unadhani kama Lissu angekuwa Rais Jaji Mkuu angekuwa nani, Dr. Nshala na Mwanasheria wa serikali Mwabukusi. Kaka usidanganywe na hawa wahuni, hata wao wakiwa madarakani watayafanya hayahaya na mabaya zaidi.Mfumo wetu wa uteuzi ndio changamoto kubwa.Zamani majaji wengi walikuwa ni mahakimu waandamizi na mara chache mawikili,wakugunzi na mawakili wa serijali waliteuliwa kuwa majaji lakini leo maofisi wengi wa serikali ndio wanapewa ujaji sio kwa uwezo wa kiujudge bali ni kama promotion. Tatizo linaanzia hapo
TAL is a real change maker!KWani Katiba yetu inasemaje kuhusu upatikanaji wa majaji? Je. Katiba imekiukwa kuhusu namna majaji walivyopatikana?
Je, kuna mtu kafungua kesi kuhusu ukiukwaji huo?
Lissu anaidharau Katiba na anamdharau kila mtu na kila kitu cha nchi hii. Anajiona hafai kuishi nchi maskini na ya watu wazembe kama hawa. Hataki kuwa chini ya Rais, Waziri, Spika, IGP wala CDF. Anajua kila kitu.
Polepole kuuawa kwa kuchapwa nondo ya kichwa, hili jambo litamgharimu sana shetani samia na magenge yake huko mbeleniMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Hivi unajua Tundu na viongozi wenzake walikuwa jela wangewezaje kufanya jambo kama hiloHarakati za kuzuia uchaguzi na kupindua ili kuleta mabadiliko ya haraka.
Makebo yako wewe, hiyo ndio itarudisha uhai wake?Hisia hizo!! Peleka mahakani usikilizwe.
Una akili kidogo sana. Duniani kote makundi yanayofanya mapinduzi ya serikali zao viongozi wa mapinduzi wao wako ama nje ya nchi au magerezani.Hivi unajua Tundu na viongozi wenzake walikuwa jela wangewezaje kufanya jambo kama hilo
Wewe na Rostam Azizi nani mwenye uelewa wa kuhusu huo uhuru wa mahakama nchi hii?Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;
a) Kwanini Lissu aliendelea kuwa Afisa wa Mahakama Kuu akijiua si huru na Majaji wake ni Ma CCM?
b) Kwanini Lissu anakubali kujitetea kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM na mashahidi wake akina Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche wanakubali kutoa ushahidi kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM?
Una akili kidogo sana. Duniani kote makundi yanayofanya mapinduzi ya serikali zao viongozi wa mapinduzi wao wako ama nje ya nchi au magerezani.
[/QUOT
Unajua sababu vipi zilizofanya watu waandamane?
Huwezi kuiita kesi ya kijinga wakati mali ya umma ilihatibiwa, watu nchi nzima walizuiwa kutoka nje wote wakiwemo wagonjwa, wanafunzi na wafanyakazi, ratiba zote zilivurugika, watu walikatwa vidole, waliumizwa na kufa. Sio kesi ya kijinga hii hata kidogo. Kesi hii ni kubwa na muhimu sana kama kesidarasa.Moja ya kesi za kijinga sana kuwahi kutokea Tanzania.
Narudia tena ni kesi ya kijinga kuwahi kutokea unaandika vitu kwa hisia zako tu.Huwezi kuiita kesi ya kijinga wakati mali ya umma ilihatibiwa, watu nchi nzima walizuiwa kutoka nje wote wakiwemo wagonjwa, wanafunzi na wafanyakazi, ratiba zote zilivurugika, watu walikatwa vidole, waliumizwa na kufa. Sio kesi ya kijinga hii hata kidogo. Kesi hii ni kubwa na muhimu sana kama kesidarasa.
Tofauti kati ya uchochezi na uhaini ni matokeo baada ya kuchochea. unaweza kuchochea lakini kusiwe na utekelezaji wa vitendo kusudiwa vya kuchochea, huo ni uchochezi. Lakini kama utachochea wananchi na uliowachochea wakaitikia wito wako wakatekeleza, huo ni uhaini.
Kwa ushahidi unavyoendelea Lissu anaweza kukutwa na kesi ya ama uchochezi, au uhaini au vyote viwili.
Putin na Netanyahu wanatafutwa na ICC sio kwamba kwasababu wao wenyewe walishika bunduki na kuwaua Waukraine na wapalestina. Yaani kuwa gerezani siku ya tukio sio sababu ya msingi kuwa huwezi kuhusika na vurugu. Unaweza kuwa umehusika na uhalifu hata kama wewe uko Uingereza siku ya uhalifu.
Kwa maoni yangu mimi bushalayer, Mpaka sasa hivi kwa hotuba yake ya arehe 3/4/2025 Lissu tayari ana hatia ya uchochezi, wanachohangaika nacho ni kutaka kuona kama ana hatia ya uhaini pia.
Kumbuka Mh. Lissu amekiri kusema mahakamani hakwendeni, majaji ni maCCM na maelezo ya shahidi Heche kuhusu matukio ya "ukandamizaji" aliodai walikuwa wakifanyiwa chadema CCM serikali na Tume ya uchaguzi kwa muda mrefu. Changanya na hotuba ya Lissu ya 3 April, 2025 kuwa kuasi, kukinukisha kuruga uchaguzi ndiyo njia pekee ya kupata mabadiliko wanayoyataka, unganisha sasa na vurugu za Oct29 uone kama hii kesi ni yakijinga au la.
Alivyoitwa akathibitishe kauli yake alisemaje?Wewe na Rostam Azizi nani mwenye uelewa wa kuhusu huo uhuru wa mahakama nchi hii?
Hizi ni hisia zako tu ila mali kuchomwa na kuharibiwa na watu kukatwa vidole na kuuliwa ni fact, wote tunajua na kumeona. Kesi iko mahakamani tusubiri hukumu ya majaji, bila shaka rufaa kwa pande zote itakuwa wazi. Sisi tunachombeza tu.Narudia tena ni kesi ya kijinga kuwahi kutokea unaandika vitu kwa hisia zako tu.
Nakubaliana sasa na wewe ni kesi ya kojinga. Jamaa baada ya kuchochea wote "wakaomba" kukamatwa ili siku ya uchaguzi wawe gererezani ili itumike kama loophole yao muhimu kisheria kama mapinduzi yakifeli. Sasa yamefeli mnahangaika kutaka kuwapitishia tundu hilo. Tumeliziba kwa mawe wasitokee hapo.Moja ya kesi za kijinga sana kuwahi kutokea Tanzania.