Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Wapi imesema
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0



1. Sema: Enyi makafiri! 1



2. Siabudu mnacho kiabudu; 2



3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3



4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4



5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5



6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6

Kifupi wewe ndo unalazimisha Allah awe Mungu wa wakristo naayahudi
 
Nilijua tu lazima utaleta hii!
Hapo wamezungumzia kuhusu masuala ya kuabudu na sio masuala ya Mungu maana watu wote ni wa Mungu mmoja lakini sio wote wanaomuabudu huyo Mungu
 
Unajua maana ya Uislam? Kabla ya Muhammad wapo waliokuwa wakijisalimisha kwa mola wao na kufuata maagizo ya Allah na Manabii zake wa mwanzoni akina Daud, Yusuph, Ibrahim, Isihakha na wengine, huo unatosha kuwa Uislam
 
Nilijua tu lazima utaleta hii!
Hapo wamezungumzia kuhusu masuala ya kuabudu na sio masuala ya Mungu maana watu wote ni wa Mungu mmoja lakini sio wote wanaomuabudu huyo Mungu
Mnamuabudu Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu?
Huyo Allah anayeabudiwa na waarabu wakristo ana mwana?
Huyo Mungu anayekataliwa kwenye shahada ndiye anayeabudiwa na wakristo!
"There's no God but Allah"
 
Ila Ukristo haukuwepo kipindi chake
Ndugu, naomba kama unaweza jibu hii...
Kama uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad walikuwa wanaitanaje kwa ajili ya sala ikiwa tunaona kwenye Hadith Muhammad anajadiliana na wenzake kuanzisha adhana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…