Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Hao si ni waongo Siku Zote:
Au hujui ndugu:
Toka mtu aseme ametokewa mala na Shetani mala na Gibriri mala na Majini mala ni ndugu zenu: ni uongo mtupu:
Ukiwacheka wanakuchinja: Bora utulie mwanaharamu apite:
 
Lakini kumbuka Qur'an alioteshwa mwamedi karne ya sita tu hapo
 
Kwani Qur'an imeandikwa lini?
 
Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo

Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko

Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Hao ni wayahudi
 

Tatizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.

Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc
 
Kinacho wachnganya enyi wagalatia ni neno Uislam hapo, lakini ukilitoa Hilo neno ukisema kila Nabii alimuabudu Mungu mmoja TU hapo wote mtakubali ni kweli, kwahio shida ni hapo Lugha na uelewa TU.
Mungu wa kweli yu ndani yako.
Achaneni na mambo ya manabii.
Tuachane na history.
 
Shida yako umetanguliza kubisha na kukosoa kwa hiyo huwezi kukubali chochote utakacho ambiwa na ushahidi wowote hutaukubali hivyo baki na unavyotakiwa kubaki makafiri hamna maswali mapya Wala kejeri mpya
 
Shida yako umetanguliza kubisha na kukosoa kwa hiyo huwezi kukubali chochote utakacho ambiwa na ushahidi wowote hutaukubali hivyo baki na unavyotakiwa kubaki makafiri hamna maswali mapya Wala kejeri mpya
 
Dini zote zimetulia
Ni wao tu
Mala Kitabu kisichokuwa na shaka:
Mala Dini Ya Iburahimu
Mala mtume alienda Mbinguni kumswalisha Iburahimu, Musa na Isa
Mala Hakuna Mungu ila Allah(ni vipi kama Allah sio Mungu Mwenyezi?)
Mala Kitabu kimekuja kusadikisha yote.
Mala Hii Dini imekuja kuzishinda Dini nyingine:
Mala Siabudu mnaye Mwabudu(mtaje basi)
Yaani Qurani ni full kujitetea na kujifagilia:
Je kama ni kweli Mnaishika SABATO kama Torati inavyo amrisha?
Kuswali Ijumaa mmekutoa wapi?
Kutoka 20:8
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

Hivi ni kwani hamwoni kuwa mnaongopewa?
Haya mniambie kwanini Leo Waislamu hamuishiki SABATO kama Waislamu wa zamani:?
Akina Musa 🤣🤣🤣🤣
 
Enhee sawa kwahiyo mtu anaweza kua Mwislam bila shaada si ndio mfano mimi nikisema Mungu ni mmoja na Mwamposa ni mtume wake nakua tayari nime Silimu?
Mungu hajawahi kumtuma mtume anayeitwa Mwamposa

Waislam wa kipindi cha Nuhu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Nuhu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Musa shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Musa ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Yesu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na Yesu kwakuwa alijua hi ndio nguzo kubwa katika uislam aliwafundisha Wana wa Israel

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu anatoa na kufundisha shahada

Hata wewe kama utalikubali hilo andiko hapo kuwa Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Automatically unakuwa muislam kama Yesu
 
Binamu yake muhamad alishtuka mapema akarudi kwenye ukristo,uislam ulikuja baadae karne ya 16 ila haukuwepo toka karne ya kwanza huko
 
Na mnakufuru kila kukicha
Eti
"Hakuna Mungu, isipokuwa Allah"
Mimi Allah sio Mungu wangu:
Ni Mzimu wa Waarabu unao sikia Lugha Moja tu ya Kiarabu, na ili ukuelewa lazima uswali ukiliangalia jiwe Jeusi la huko Saudi Arabia:
Jiwe linaitwa Al-Aswadi 😭😭😭
 
Shida yako umetanguliza kubisha na kukosoa kwa hiyo huwezi kukubali chochote utakacho ambiwa na ushahidi wowote hutaukubali hivyo baki na unavyotakiwa kubaki makafiri hamna maswali mapya Wala kejeri mpya
Ukishaanza kuita watu makafiri wajanja tunajua umeishiwa hoja!
 
Unajitahidi sana kuileta biblia kutetea hoja yako dhaifu.Kwamba hilo andiko linathibitisha kuwa Yesu alikuwa mwislam?
Kwamba hiyo ilikuwa ni shahada wakati wa Yesu?
Ukinipa kifungu kinachoonesha shahada wakati wa Yeremia na Isaya nasilimu!
 

Allah ndio aliyowambia Wana wa Israel wafanye Ibada siku ya Sabato
Na Allah anasema ndani ya Quran Kuna wakazi wa Kijiji kimoja aliwaangamiza Kwa kuvunja Sabato
Quran 7:163
- Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:165
- Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:166
- Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.

Kitu ambacho haukijui ni kuwa Mungu alileta manabii na vitabu vitawale katika nyakati tofauti kama sisi tunavyochagua maraisi Kila Baada ya miaka 10 tena wengine wanataka na katiba mpya
Raisi ni sawa na Nabii na katiba ni sawa na kitabu

Hivi Sasa wewe ukisema raisi wako ni Kikwete au Magu watu watakushangaa na mitume wa Mungu ni hivyo hivyo

Muda wa Sabato na Taurati uliisha Baada ya kuja mtume Muhammad

Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Ili ugundue hilo inatakiwa uwe na akili ya ziada
 
Ukishaanza kuita watu makafiri wajanja tunajua umeishiwa hoja!
Makafiri ni Hawa hapa na walikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhamadi:
Na sisi kiungwana wala hatuwaiti hivyo:
Tunawajua
Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…