Mbona nimekujibu ....tuliza akili.... Ibada inafanyika popote ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kanisa ni darasa la injili ila unaweza kufanya ibada ....wakristo walio potoka ndiyo wakaligeuza Kanisa kuwa nyumba ya ibada....kwani muhammad alivyo kwenda mapangoni kufanya ibada je pango ni nyumba ya ibada ....?Mbona umeanza kupaniki na wakati wewe ulijinasobu ni bingwa. wa maswali yanayohusu kanisa
Kwanini unaogopa kujibu haya maswali?
Kama kweli wewe unauhakika na Imani yako jibu haya maswali
Umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Kwanini wewe unaenda kufanya Ibada kanisani?
Kama kipindi cha Yesu kulikuwa hakuna Nyumba ya Ibada inayoitwa kanisa
Yesu na wanafunzi wake Ibada zao walikuwa wanafanya katika Nyumba gani ya Ibada?
Umesema mnapoingia kuabudu mnatakiwa mtawaze na ndani kusiwe na viti Kwa nini nyinyi wakristo hamfanyi hivyo?
Point of correction! Post #144 sio yangu. Ila ulichokiuliza nimekujibu kama inavyopaswa kujibiwa katika post # 158 (rudi uisome vyema). Nimeona unatake advantage kwa mtu ambaye hana maarifa ya kutosha kwenye maandiko matakatifu. Sasa anzia hapo nilipokujibu kama una swali lolote ujibiwe.Bro ukristo huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda
Na ndio maana unajichanganya
Post yako no 144 umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Huku tena unasema kanisa ni Nyumba ya Ibada
Post 144 umesema Nyumba ya Ibada ukiingia unatikiwa utawadhe na kusiwe na viti huku unasema sio lazima
Post yako 144 hi yapa
JIBU ...YESU ALIINGIA KANISANI ILA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA ...NDIYO MAANA KANISA KWA MAANA YA JENGO, WATU UINGIA NA VIATU NA HATA KUKETI VITINI...KANISA KWA MAANA YA JENGO NI JENGO LOLOTE AMBALO WATU WALIKUSANYIKA KUJIFUNZA AU KUFUNDISHANA INJILI ....tukumbuke kuwa wayahudi walimkataa Yesu na Injili waliikataa hivyo yesu alikuwa anafundisha injili kwenye masingagogi na hekaluni na kwenye makanisa yaani majengo yasiyo hekalu wala sinagogi ...hivyo hapa utajua kwa nini hata kipindi cha Yesu kanisani watu waliingia na viatu au kuketi vitini kwa sababu kanisa kwa maana ya Jengo siyo nyumba ya ibada ni kama wewe unavyo weza kutumia nyumba yako binafsi kuabudi ila hiyo nyumba yako siyo msikiti ....
Kosa lilitokea baada ya yesu kuondoka duniani na Injili kukataliwa kwenye masinagogi na hekaluni ...watu wa injili waliendelea kukutanika kwenye majengo wakifundishana injili na kuhubiri injili hivyo ilikuwa siyo kosa ni haki kuingia na viatu na kuketi vitini makanisani .....kosa lilikuja baadae ...WAKRISTO WALIO FUATIA KIZAZI WAKAYAGEUZA MAKANISA KUWA NI NYUMBA ZA "MUNGU ZA IBADA" KUTOKA KUWA MADARASA YA INJILI TU, NA WALIPO YA GEUZA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA KUABUDIA MUNGU, ZILE TARATIBU ZA KUINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI ZA MADARASA WAKAENDELEA NAZO ...ILO NDIYO KOSA ...HIVYO YESU ALIINGIA KANISANI KAMA DARASA LA INJILI SIYO NYUMBA YA IBADA.
KUMBUKA KUWA UKRISTO YAANI INJILI ILIKATALIWA NA WAYAHUDI WA TORATI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA WAYAHUDI WALIMKATAA YESU NA INJILI YAKE ... HIVYO BAADA YA YESU KUONDOKA DUNIANI INJILI NA UKRISTO VILIKUWA HAVINA NYUMBA ZA IBADA ISIPOKUWA MADARASA YAANI MAJENGO YANAYO TUMIKA KUFUNDISHA INJILI =KANISA....WAKRISTO WALIYAGEUZA MADARASA YA INJILI KUWA NYUMBA ZA IBADA BILA YA KUONDOA TARATIBU ZA DARASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA AMBAZO NI KUTAWAZA KUABUDU CHINI BILA YA VITI
We nenda tu kanisani ukaimbe, ulie na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Sasa jibu hoja,Sio hakubaliani na Mimi sema hakubaliani na maandiko ya Quran Mimi nimeweka tu hayo maandiko
By the way kwani Kuna mtu amekushikia fimbo kuwa lazima uamini kilichosemwa na Quran
Hayo ni maandiko umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha kuamini au kutoamini hiyo ni juu yako
Tokea lini kafiri akaiyamini Quran
Haya jibu hoja sasa,Waislam tubaamini uislam ulianza na Adam, ukakamilika kwa Mtumeuhammad.
Na mitume wote walijazia maamrisho ya Uislam ndo maana kuna mitume mingi, yote imekuja kufundisha sehem ya Uislam (ukiacha kuswali)
Uko sahihi kabisa, the so called Ukristo ulianza karne ya nne baada ya Kristo. In short this was a man made religion for political motives.Hata Ukristo haukuwepo kipindi cha Yesu
SikubaliUnakubali kwanza uislam haukuwepo kabla ya Muhammad?
Yeah ulianzishwa huko Nicaea au Uturuki ya sasa kwenye baraza lililoongozwa na Constance IUko sahihi kabisa, the so called Ukristo ulianza karne ya nne baada ya Kristo. In short this was a man made religion for political motives.
Kama ni la kufikirika tu mbona hata wakristo wanalitumiqUislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi
Allah ni mojawapo ya Miungu ya makureshi!Kama ni la kufikirika tu mbona hata wakristo wanalitumiq
Walimuabudu Allah au hilo umelisahauHawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Mbona wakristo wenzio wa Uarabuni wanalitumia au na wao wanaabudu mungu wa MakureshiAllah ni mojawapo ya Miungu ya makureshi!
Hajawahi kuwa Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo!
Alivumbuliwa na Mwamedi!
Mbona nyinyi hapa mnatoa ushahidi ndani ya Qur’an halafu unasema asitoe ushahidi ndani ya Qur’an au kwa vile nyinyi mmezoea mambo yenu yasiyo na ushahidi kwenye BibliaToa ushahidi wa kimaandiko kama hao walikuwa waislamu na si porojo za kujisalimisha! Na ushahidi huo uwe nje ya Quran kwa sababu ndo source inayobishaniwa!
Hakuna mkristo anamuabudu Allah Mkuu! wanalitumia kwa sababu ya lugha tu lakini si Allah yule wa kwenye alkaaba!Mbona wakristo wenzio wa Uarabuni wanalitumia au na wao wanaabudu mungu wa Makureshi
Na wanapolitumia wanakuwa wanamaanisha naniHakuna mkristo anamuabudu Allah Mkuu! wanalitumia kwa sababu ya lugha tu lakini si Allah yule wa kwenye alkaaba!
Unafikiri kwa Nini Papa Leo alikataa kuswali msikitini Uturuki?
Allah is not Yawheh
Wanamaanisha baba mwana na roho mtakatifu unless unambie huyo ndo Allah wa waislam!Na wanapolitumia wanakuwa wanamaanisha nani
Mpaka hapo Allah ni lakufikirika au halisi?Wanamaanisha baba mwana na roho mtakatifu unless unambie huyo ndo Allah wa waislam!
Mungu wa waislamu si Mungu wa wakristo Wala mayahudi mzee! Hata Quran umesema hivyoMpaka hapo Allah ni lakufikirika au halisi?