Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Asiwafunge macritics wake amfungulie Dawa Juma hii ndio Democracy.
View attachment 2613139

Haha huyo sijui Dawa Juma yaani kwa kujua kwangu ki Sukuma cha kubahatisha mtazamo wake ni kama watu wengi tu ambao kipindi cha Muheshimiwa Ngosha hawakuwa na cha kupoteza sana, lakini kwa kada ya wafanyakazi hasa serikalini na wajasiriamali wanao taka kukuza biashara zao na wale wafanya Biashara wakubwa ndo wanajua hasa uharibifu uliofanyika na hii ndo kada ya kusukuma maendeleo ni kama alikuwa anakindhana na dhana yake TZ ya viwanda kwa namna ya kuendesha mambo

Huyu sijui Dawa Juma ni kutafuta tu umaarufu kwa ujumbe wake wa Sabuni na mafuta ya kula yashuke bei
 
😃😃😃
 
Huyu sijui Dawa Juma ni kutafuta tu umaarufu kwa ujumbe wake wa Sabuni na mafuta ya kula yashuke bei
Je kufikisha ujumbe kwa Riasi kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu ndio kufungwa miaka sita?

Please free Dawa Juma.
 
😂😂😂 machawa bhana japo jpm alikua zuzu mmoja tu ila huyu samia ana hofu ya msoga hana jipya anachezewa kama mjinga mjinga hana kauli hajui hata nn kinaendelea nchini
 
😂😂😂 machawa bhana japo jpm alikua zuzu mmoja tu ila huyu samia ana hofu ya msoga hana jipya anachezewa kama mjinga mjinga hana kauli hajui hata nn kinaendelea nchini
Una ushahidi na haya?
 
Nhiiii.....upuuzi tupu unaendelea sasa..
 
Mkumbushe tu mama kuwa watoa huduma za kijamii kwa taasisi za serikali ndio shida waungu watu wao sisi wateja ndio twateseka
 
Mkumbushe tu mama kuwa watoa huduma za kijamii kwa taasisi za serikali ndio shida waungu watu wao sisi wateja ndio twateseka
Mdogo mdogo watabadilika. Tuko kwenye mageuzi ya Kitaifa
 
Mdogo mdogo watabadilika. Tuko kwenye mageuzi ya Kitaifa

Hapana aiseee ivi ushawahi ingia kwenye ofisi za umma mzee yani watu badala ya kukuhudumia ndio kwanza wengine wanapiga story na wengine kusikiliza music kwa komputer za ofisi yani ni shida mzee
 
Hapana aiseee ivi ushawahi ingia kwenye ofisi za umma mzee yani watu badala ya kukuhudumia ndio kwanza wengine wanapiga story na wengine kusikiliza music kwa komputer za ofisi yani ni shida mzee
Sasa hiyo ni shida ya Rais au ni ubovu wa jamii zetu zisizopenda kufa ya kazi kwa umahili na ufanisi?
 
Sasa hiyo ni shida ya Rais au ni ubovu wa jamii zetu zisizopenda kufa ya kazi kwa umahili na ufanisi?

Kipindi cha Magufuli hapakuwa na iyo hali mzee tusisingizie ubovu wa jamii zetu ni wenye mamlaka ndio alaumiwe
 
Wewe ni yule Mataga wa zamani au akaunti imeahakiwa?!
Mataga wote wamepiga U turn wakati huu,kama unabisha muulize Magonjwa Mtambuka,Stroke,Comte,Cocochannel na wengineo🤸🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…