Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #61
Si aliacha vitu alivyofanya ambavyo nyie mnaita Legasi?Hivi mtu alie hai anamzidije marehemu?, pathetic [emoji817]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si aliacha vitu alivyofanya ambavyo nyie mnaita Legasi?Hivi mtu alie hai anamzidije marehemu?, pathetic [emoji817]
Wacha uandikwe tu kuweka kumbu kumbu sawa.Kama ni ukweli usingekua na haja ya kuandika.
Nione takoWananchi tuna amani....tumenenepa😁
Aonyeshe Image ya "Iron Lady" kwa wezi wa fedha na mali za Umma, lakini aonyeshe Soft side kwa Wananchi wake na critics wake.Sasa ndio hata walevi wamchezee?
Asiwafunge macritics wake amfungulie Dawa Juma hii ndio Democracy.
View attachment 2613139
😃😃😃Haha huyo sijui Dawa Juma yaani kwa kujua kwangu ki Sukuma cha kubahatisha mtazamo wake ni kama watu wengi tu ambao kipindi cha Muheshimiwa Ngosha hawakuwa na cha kupoteza sana, lakini kwa kada ya wafanyakazi hasa serikalini na wajasiriamali wanao taka kukuza biashara zao na wale wafanya Biashara wakubwa ndo wanajua hasa uharibifu uliofanyika na hii ndo kada ya kusukuma maendeleo ni kama alikuwa anakindhana na dhana yake TZ ya viwanda kwa namna ya kuendesha mambo
Huyu sijui Dawa Juma ni kutafuta tu umaarufu kwa ujumbe wake wa Sabuni na mafuta ya kula yashuke bei
Je kufikisha ujumbe kwa Riasi kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu ndio kufungwa miaka sita?Huyu sijui Dawa Juma ni kutafuta tu umaarufu kwa ujumbe wake wa Sabuni na mafuta ya kula yashuke bei
Una ushahidi na haya?😂😂😂 machawa bhana japo jpm alikua zuzu mmoja tu ila huyu samia ana hofu ya msoga hana jipya anachezewa kama mjinga mjinga hana kauli hajui hata nn kinaendelea nchini
Tunakaa bar bila hofu ..khaa wakati ule unaogopa kila mtu ..khaaWananchi tuna amani....tumenenepa😁
Ushahidi kamuulize CAG, na kwa sasa mnasema CAG pengine haelewi anachokifanya.Una ushahidi na haya?
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau
Mdogo mdogo watabadilika. Tuko kwenye mageuzi ya KitaifaMkumbushe tu mama kuwa watoa huduma za kijamii kwa taasisi za serikali ndio shida waungu watu wao sisi wateja ndio twateseka
Kwamba huoni yanayoendelea au unatafuta ushahidi ganiUna ushahidi na haya?
Weka ushahidi acha maneno mengiKwamba huoni yanayoendelea au unatafuta ushahidi gani
Mdogo mdogo watabadilika. Tuko kwenye mageuzi ya Kitaifa
Sasa hiyo ni shida ya Rais au ni ubovu wa jamii zetu zisizopenda kufa ya kazi kwa umahili na ufanisi?Hapana aiseee ivi ushawahi ingia kwenye ofisi za umma mzee yani watu badala ya kukuhudumia ndio kwanza wengine wanapiga story na wengine kusikiliza music kwa komputer za ofisi yani ni shida mzee
Sasa hiyo ni shida ya Rais au ni ubovu wa jamii zetu zisizopenda kufa ya kazi kwa umahili na ufanisi?
Mataga wote wamepiga U turn wakati huu,kama unabisha muulize Magonjwa Mtambuka,Stroke,Comte,Cocochannel na wengineo🤸🤸🤸Wewe ni yule Mataga wa zamani au akaunti imeahakiwa?!