Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Mataga wote wamepiga U turn wakati huu,kama unabisha muulize Magonjwa Mtambuka,Stroke,Comte,Cocochannel na wengineo🤸🤸🤸
Wako wanazi wenye shingo ngumu akina Jilala, USSR, Nigrastrat tract na Troiker
 
Hali ya uturivu BAHARI kuu imetulia.

Watu tuna amani ya kweli,mungu amlinde Sana.

I'll sitosahau Wale mbwa Koko aka CHAWA .
Mara katiba ibadirishwe jiwe milele pumbafu.
Msiba wapi now,wanafiki wamejificha *****.

Samia wamwache
 
Sa
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Sasa watalinganaje wakati magu aliibuka tu bila kupikwa na mama kaingia kimpango kamili? Mama ni mlima Kilimanjaro na magu ni kichuguu.
Hala sijawahi kuona rais mkristo wa nchi hii aliyemaliza muda wake au kuondoka madarakani kivyovyote asifunikwe na mwislamu aliyemfuatia!
Nyerere nchi ilimshinda watu wakawa wanakabiliwa na njaa hadi wakavaa magunia kwa ukosefu wa nguo.
Alipokuja mzee ruksa waty wakashiba.
Mkapa aliingia akauza kila kitu cha nchi kwa fujo na ajira zikawa za taabu.
Alipoingia mzee wa msoga ukihitimu chuo unapangiwa kazi moja kwa moja.
Magu kaingia ikawa tafrani. Ajira zero, mishahara haipandi, madaraja wafanyakazi hawapandi.
Wasiojulikana wakawa kazini kutesa watu. Mama kuingia nchi imepona.
Mwislamu anaamia bila shaka kuwa ataulizwa kwa anayotendea watu wa chini yake ndoa maana wanakuwa na huruma na uadilifu kwa wanyonge.
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki niliwa kuwambia watu kuna haja tuweke Utaratubu Nchi hii waislam ndio wawe marais tu.

Walinipopoa kwa Mawe wakisema mimi ni mdini.

lakini ukiangalia Trends hizo utaona Marais wa Kikristo hawana faida kwa Taifa hili.
Sa

Sasa watalinganaje wakati magu aliibuka tu bila kupikwa na mama kaingia kimpango kamili? Mama ni mlima Kilimanjaro na magu ni kichuguu.
Hala sijawahi kuona rais mkristo wa nchi hii aliyemaliza muda wake au kuondoka madarakani kivyovyote asifunikwe na mwislamu aliyemfuatia!
Nyerere nchi ilimshinda watu wakawa wanakabiliwa na njaa hadi wakavaa magunia kwa ukosefu wa nguo.
Alipokuja mzee ruksa waty wakashiba.
Mkapa aliingia akauza kila kitu cha nchi kwa fujo na ajira zikawa za taabu.
Alipoingia mzee wa msoga ukihitimu chuo unapangiwa kazi moja kwa moja.
Magu kaingia ikawa tafrani. Ajira zero, mishahara haipandi, madaraja wafanyakazi hawapandi.
Wasiojulikana wakawa kazini kutesa watu. Mama kuingia nchi imepona.
Mwislamu anaamia bila shaka kuwa ataulizwa kwa anayotendea watu wa chini yake ndoa maana wanakuwa na huruma na uadilifu kwa wanyonge.
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Sawa pamoja na hayo tuendelee kutafakari

  1. TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali
  2. Maharagande: Naibu Waziri TAMISEMI Ajiuzulu
  3. Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo
  4. POLISI: Acheni UONGO na UPOTOSHAJI, Naibu Waziri Dugange hakuwa na mwanamke kwenye gari
 
Umeme sio sawa na wasiojulikana.
Sujazungumza kuwa umeme ni tatizo. Tumezoea awamu hii ya 6 kuwa ni haki yetu kukatiwa umeme. Ila nimeandika kuwa umeme ukirudi nitachangia mada hii maana sina hakika chaji siku ya kesho
 
Asante sana Mkuu.
 
Viva Samia, Viva Tanzania
Amani, upendo, mshikamano vimerejea Tanzania, huku maendeleo hayajabaki nyuma
 
Back
Top Bottom