Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Jeshi la Polisi nchini limefanya kazi kubwa sana iliyotukuka, tunamuomba Rais Samia awaagizie makontena zaidi ya Risasi za kwenda kuwashughulikia mapanya road na wanufaika wote wa shughuli zao.Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
View attachment 2367622
Mnataka mpelekwe mahakamani, mpate adhabu kidogo halafu mrudi tena uraian kukata watu mapanga.Extrajudicial killings ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania.
Kamata Vibaka wapeleke Mahakamani.
Hatutaki Katiba inayolinda wahuni wanaotumia mapanga kudhuru wengine.Police state in the making, polisi wetu ni majambazi in uniforms, kisheria police hawaruhusiwi to shoot to kill unless, maisha ya raia au yao yakiwa hatarini, katiba mpya ni muhimu ili itupatie IPID
Jeshi la Polisi nchini limefanya kazi kubwa sana iliyotukuka, tunamuomba Rais Samia awaagizie makontena zaidi ya Risasi za kwenda kuwashughulikia mapanya road na wanufaika wote wa shughuli zao.
Wao wanavyoua raia kwa mapanga wapo sawa sio? Polisi shikilia hapohapo, kill them like they are killing others. Ulegelege wa polisi ndio umeleta haya ya panya road!Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
View attachment 2367622
Unajaribu kufanya uzi wako uonekane una mashiko kwa kutumia mifano butu.Kwa mawazo kama haya hata kina Ben, Lijenje Azory, Lissu hata waliokuwa kwenye viroba wote walikuwa panya road.
Eti wewe ni mkereketwa wa katiba mpya. Labda katiba ya manyani.
Wao wanavyoua raia kwa mapanga wapo sawa sio? Polisi shikilia hapohapo, kill them like they are killing others. Ulegelege wa polisi ndio umeleta haya ya panya road!
WAFUNZENI WATOTO WENU KBL HAWAJAFUNZWA NA ULIMWENGU!
Unajaribu kufanya uzi wako uonekane una mashiko kwa kutumia mifano butu.
Mjomba umefeli, nenda kajipange upya, wahalifu wa panya road hawafai kutetewa kwa namna yoyote.
Nashauri jeshi la polisi litanue operation kwa ku deal na wote wanaojifanya watetezi wa haki za binadamu.(panya road).
Scenarios ni tofauti sana na issue za kina Ben, Azory na Lissu ni tofauti sana, zile huratibiwa na kikosi kazi maalum na si polisi!Kwani kina Ben Lijenje Azory Lijenje au Lissu walimwua nani?
Scenarios ni tofauti sana na issue za kina Ben, Azory na Lissu ni tofauti sana, zile huratibiwa na kikosi kazi maalum na si polisi!
Kiukweli siungi mkono polisi kuua raia wala raia kuua raia wengine. Kazi ya uumbaji na utwaaji ni ya mwenyezi Mungu mwenyewe.Mkuu sijui unafanya kwa bahati mbaya au unafanya makusudi tu ,
Kiukweli siungi unyang'anyi ,kuua na kupola (uhalifu) kunaofanywa na panya road hata nukta lakini piah siungi mkono polisi kuvunja sheria na katiba (Kwa kuua mhalifu )
Tunapaswa wote tuwe watiifu Kwa sheria na katiba maana ndo muongozo wetu Kwa pamoja
Ikiwa tunaona sheria inawabeba wahalifu si wapeleke mswaada bungeni Ili ije sheria itakayokuwa mwarobaini wao.
Mkuu jiulize kwa nini mwizi wa kuku anahukumiwa miaka 30 na anafanya ubadhirifu wa mali ya umma anahamishwa kituo cha kufanya tu kazi au wakiona aibu saana ni kulipa faini ambayo haiendani na ubadhirifu alioufanya.
Kiukweli siungi mkono polisi kuua raia wala raia kuua raia wengine. Kazi ya uumbaji na utwaaji ni ya mwenyezi Mungu mwenyewe.
Tatizo hapa ni letu na mfumo wetu wa utawala (nadhani hapa ndipo wengine hukamatia hoja ya katiba mpya)
Kibaka/Jambazi anakamatwa akiwa na ushahidi. Anaenda mahakamani anashinda kesi anarudi uraiani. Anafanya uhalifu tena anapelekwa mahakamani, anaachiwa anafanya uhalifu tena. Samtaimz inakera na kuwafanya hawa manjagu kuchukua sheria mkononi. Na wao kwa kutumia mwanya huo wanaua na raia wengine wasio na hatia.
Nini kifamyoke tutoke huko.....? Ndio hapo watu wanakuja na wazo la katiba mpya.
Au wewe mkuu wangu unashauri nini kifanyike?
Decor Bysco jifunzeHivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
View attachment 2367623
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
View attachment 2367622
Ninawapongeza polisi kwa kazi nzuri wanayofanya ya kuwaua Panya road. Ningefurahi zaidi kuona panya road wote waliofungua nyuzi kadhaa humu JF wakikamatwa na kuuwawa pia. Wewe mleta uzi ni bora ukatafuta kazi nyingine... upanya road utaishia kupigwa chuma.
Wewe una ukatili wa hali ya juu na inawezekana umelelewa kwenye familia ya kikatili, shameHatutaki Katiba inayolinda wahuni wanaotumia mapanga kudhuru wengine.
Nakusihi sana muache mara tabia ya uporaji.
Kwa sasa katiba mpya haikwepeki kweli, je wananchi kwa makundi mbalimbali wapo tayari kuidai au ndo unabaki wajibu wa wa wanasiasa(hususani CHADEMA) kuidai ?Kiukweli siungi mkono polisi kuua raia wala raia kuua raia wengine. Kazi ya uumbaji na utwaaji ni ya mwenyezi Mungu mwenyewe.
Tatizo hapa ni letu na mfumo wetu wa utawala (nadhani hapa ndipo wengine hukamatia hoja ya katiba mpya)
Kibaka/Jambazi anakamatwa akiwa na ushahidi. Anaenda mahakamani anashinda kesi anarudi uraiani. Anafanya uhalifu tena anapelekwa mahakamani, anaachiwa anafanya uhalifu tena. Samtaimz inakera na kuwafanya hawa manjagu kuchukua sheria mkononi. Na wao kwa kutumia mwanya huo wanaua na raia wengine wasio na hatia.
Nini kifamyoke tutoke huko.....? Ndio hapo watu wanakuja na wazo la katiba mpya.
Au wewe mkuu wangu unashauri nini kifanyike?
Acha kumhusisha baba wa taifa na u-panya road wako
Panya-road wanaua raia na kupora mali zao. Polisi wao wanawaua ti hao Panya-road lkn hawapori mali mali zao.Police state in the making, polisi wetu ni majambazi in uniforms, kisheria police hawaruhusiwi to shoot to kill unless, maisha ya raia au yao yakiwa hatarini, katiba mpya ni muhimu ili itupatie IPID
Acha kumhusisha baba wa taifa na u-panya road wako