Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

Umenyooka vyema kabisa
 
Namie nachangia afrika ukiwa kiongozi raha utaiba weeeh na hakuna atakae jaji
 
Waafrika hasa watanzania wana laana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwani mmsahau kwamba sisi watu weusi ni uzao wa laana sisi ni wajukuu wa kanani ambae alilaaniwa na baba ake nuhu baada ya kuucheka uchi wa mshua
 
Huu uzi ni wa kujitukana na kijichukia kama Mwafrika. Ni wa kukubali ubaguzi wa RANGI na falsafa za kina Hitler.
Duniani kuna watu wenye njaa kali na mateso ya ufukara kama Korea ya DPRK? Kama Iran ni peponi mbona Wairan wengi wanakimbilia nchi za Ulaya kwa Wakristo ambapo Ukristo haukubaliki huko kwao Iran.
Kutengeneza silaha za maangamizi kila nchi ikiamua inaweza kmf silaha za kibaiolojia kama COVID-lengo si kuteketeza binadamu.
 
Tuachane na Iran na NK.

Haya wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho ?
 
Mimi huwa najiuliza ilikuwaje sisi Wabantu tukasombwa na kwenda kuuzwa kama mifugo na hawa Wamanga pori?

Mbona Maasai waliogopwa kama ukoma?
 
Unataka kusema nini ?
Kila dhana ina upande kinzani. Ukidai Kuna mwanaume kwa upande mwingine Kuna mwanamke.

Kijiji vs mji. Mwerevu vs mpumbavu. Hata huko Ulaya Kuna masikini vs matajiri. Mfano Ureno ni nchi masikini na inategemea misaada fulani toka EU.

Kipimo halisi cha werevu ni kiwango cha ujinga

Kipimo cha utajiri ni kiwango cha umasikini.

Wengine tunaona Ulaya ni werevu na matajiri kwa sababu Afrika Kuna umasikini mwingi na wajinga wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…