Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Sasa vigezo unavipima Kwa ku-restrict wengine au Kwa kufanya MCHAKATO ulio wazi ambao una EFFECTIVE competition?
Huwezi mnufaisha kila mtu. Ndio hayo madudu mnaleta ktk sehem zinazohitaji akili kubwa.

Ni Ajira tu za TZ ambazo unaajiri bila experience. Ukijaji unaanza kupigiwa kelele MIMI MTOTO WA MASKINI sijui nini na nini
 
Kazi gani inahitaji ajili kubwa ? Nimekuuliza u- justify HEAD HUNTING Kwa hizo kazi za NSSF imeshindwa Kwani ndo zinahitaji ajili kubwa
 
Mtu anayeongeza ujuzi wa taaluma, say huyo wa diploma akapata bachelor akirudi anabadilishiwa tu cheo cha Muundo. Hawezi kuajiriwa tena kisa kaongeza elimu, never. Hiyo itakuwa ni double employment.

Hivyo, hizo nafasi zinatangazwa kwa wale ambao hawajawahi kupata cheque number tu.
 
Kazi gani inahitaji ajili kubwa ? Nimekuuliza u- justify HEAD HUNTING Kwa hizo kazi za NSSF imeshindwa Kwani ndo zinahitaji ajili kubwa
Unakimbilia tena kwenye HEAD HUNTING. Umenogewa na huo Msamiati ee

Ni hivi kuna kazi sio nyepesi kama mnavyodhani, na watu kama wamemaster utendaj kazi wapeni NAFASI/PRIOITY acheni roho za kwanini.
 
Kama ramadhani dau alivyojaza waislamu nssf
 
Eti patachimboka Watanzania wanyonge mnavituko sana mnashindwa pigania mambo mengi ya ajabu ya serekali leo unasema patachimbika
 
Mkuu kuna watu hawajasoma tangazo ila wanacomment kwa mihemko mara waseme hao wanapanda daraja, mara wamejiendeleza. Ukweli utabaki palepale mama kapangwa na wajanja kaingia Kingi watu wamefungulia goli. Tutegemee vyeti feki miaka 5 ijayo
 
Umeongea vyema sana mina-support waliojitolea wapewe nafasi mtu kafanya internship miaka mpaka mitatu unamuachaje

Kwenye maisha tusipende vya bure ndo tatizo kubwa la watanzania wengi
 
Ukianza kazi kama Intern ni taasisi chache sana zitakazopoteza RESOURCES kukupa training, hata ktk MPANGO wa Mafunzo (TP) TRAINEE huwa Haingii.
KWANZA una kiwango gani cha Elimu? Nisiwe natwanga maji kwenye kinu hapa.
Dah...!!ndo kama wasomi tunajibu hivy bila hoja nchi ngumu hii kuendelea...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo mkuu
Neuro surgeon hata 20 hawafikii tanzania unaitaje interview
 
Kuna watu hawawez kukuelewa…ila sababu ni kwamba majitu mengi hii nchi ni majinga na mapumbavu, kazi za ndani kwa ndani 300 kweli hapo waliokuwa hawawez kupata internship watapataje kaZi kama staili ndio hiyo ? Nchi ina mambo ya kingese sana hii…
 
Mkuu hata kama, something somewhere is not okay, internship ya idadi hiyo ya watu ? Kwanini msitangaze kazi moja kwa moja ? Mkuu hapo hakuna haki hawa madogo wataanza kutukaba mtaani muda si mrefu hii kitu inaenda kuwamaliza na chama lao la kisenge hilo….au ndio wanatengeneza tatizo ili waje walitatue ikikaribia uchaguzi ? How comes kila mtawala akija anakuja na mbinu hiyo hiyo kuna siku watu watachoka…ignorance inatumaliza aisee
 
Huwezi mnufaisha kila mtu. Ndio hayo madudu mnaleta ktk sehem zinazohitaji akili kubwa.

Ni Ajira tu za TZ ambazo unaajiri bila experience. Ukijaji unaanza kupigiwa kelele MIMI MTOTO WA MASKINI sijui nini na nini
Kazi gani hapo NSSF inayohitaji akili kubwa kuliko sehemu zingine? Si wametangaza kazi hizo hizo za kawaida kama ICT officer II, Accounts Officer II, Compliance Officer II, etc. Hizi post zina uajabu gani? Pole sana!!
 
Hujaelewa concern ya watu kumbe! Shida ya mtoa mada na wanaounga mkono hoja sio internal employment, bali tatizo kwa taasisi tajwa ni urasimu uliopo kwenye kupata hizo nafasi. Hoja imeanzia hapo. I hope you comprehend.

Kuhusu kuajiri interns in place of new applicants, hilo liko vivid.
 
Acha uongo mkuu
Neuro surgeon hata 20 hawafikii tanzania unaitaje inter

Acha uongo mkuu
Neuro surgeon hata 20 hawafikii tanzania unaitaje interview
Acha kukurupuka soma na kuelewa point yangu.Nimetoa mfano wa 'Neuro-Surgeon' kama kada ambazo ni very specialized na hivyo ku- justify process ya HEAD HUNTING Ili kupata mtu sahihi,na siyo through advertisement and interview.kama huelewi maana ya HEAD HUNTINg omba msaada kwenye tuta, pathetic!
 
Nani kasema hao watu 300 ni watu wa INTERNSHIP? Tatizo mnakurupuka mno.
 
Kazi gani hapo NSSF inayohitaji akili kubwa kuliko sehemu zingine? Si wametangaza kazi hizo hizo za kawaida kama ICT officer II, Accounts Officer II, Compliance Officer II, etc. Hizi post zina uajabu gani? Pole sana!!
Anhaa kwahiyo ni sahihi kurecruit MARAPURAPU? haya yanayolia kila siku MIMI MTOTO WA MASKINI?
 
Malalamiko siku zote yapo tu, mie mwenyewe nawamind PSRS kila siku ingawa waliniita Kazini. Ninasababu zangu kwanini nawamaindi. Na ntaendelea kuwamaindi.

Kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa nafasi kila taasisi ina njia zake za kupata watu, NSSF ni sehem ambayo watu wengi wanapatolea macho ukiwa ktk mfumo utajionea ni jinsi gani watu wanaomb sana maombi ya Intern au kuhamia ktk hizo taasisi zenye kuvutia watu.

Wanapokea maombi mengi na wanakubali watu wengi vilevile. Huo muda wa kuanza kutangaza nafasi ya INTERN unatoka wapi wakat una mzigo wa maombi upo mezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…