Inayo shida, mfano naleta mtoto wangu kujitolea halafu natangaza nafasi za kazi, baadaye namuajiri, huoni kama kuna shida?Internal recruitment hiyo Wala Haina shida. Punguza kinyongo
ngoja niongezee hapo, noti kwa noti mjuano kwa wingi.Haya Majinga yamejazana ktk Magrp ya Whatsapp yanatagemea link itumwe au PDF itumwe ndio wakimbilie kuomba.
Wenzao wanasaka mlango kwa mlango. Alafu wanakuja kupiga makelele
Kuna TAASISI hizo hizo za serikali ww hauna HAKI ya kupata AJIRA.
AJIRA sio haki ya Kila Mtanzania.
Ajira upate basi UFITI na vigezo na masharti yanayoambatana na AJIRA husika.
Toeni hiyo DHANA ya Ajira ni haki kwa kila MTANZANIA na muamini kwamba AJIRA NI KWA YULE MWENYE VIGEZO husiku/STAHIKI
Ok ni kwa kila mkenya mwenye uwezo na vigezo husika dah mwamba umenifumbua macho nilikuwa usingizini.Kuna TAASISI hizo hizo za serikali ww hauna HAKI ya kupata AJIRA.
AJIRA sio haki ya Kila Mtanzania.
Ajira upate basi UFITI na vigezo na masharti yanayoambatana na AJIRA husika.
Toeni hiyo DHANA ya Ajira ni haki kwa kila MTANZANIA na muamini kwamba AJIRA NI KWA YULE MWENYE VIGEZO husiku/STAHIKI.
Internal recruitment kwa junior staff kwenye taasisi kama NSSF inawezekanaje? Hawa watu waliokuwa wanafanya kazi za mikataba walipatikanaje? Ni wazi waliingia kwa connections na wana ajiriwa kwa connections. Binafsi nilistuka sana kuona mbunge tena mmasai eti anapeleka hoja bungeni kuhusu ajira za watu wanaojitolea.Internal recruitment hiyo Wala Haina shida. Punguza kinyongo
Akucheki vp au ndo connection, zenyewe hizo kwa nini usiweke wazi hapa na wengine wanufaike.Skia mzee, kama huna Ajira na unataka uzoefu atleast Internship usisite kunichek PM. Karibu.
Ajira za ualimu tokea ameingia samia zilizingatia waliokua wanajitolea na wale waliomaliza mda mrefu hamkulalamika sababu ni ualimu watanzania mna vituko sanaInternal recruitment kwa junior staff kwenye taasisi kama NSSF inawezekanaje? Hawa watu waliokuwa wanafanya kazi za mikataba walipatikanaje? Ni wazi waliingia kwa connections na wana ajiriwa kwa connections. Binafsi nilistuka sana kuona mbunge tena mmasai eti anapeleka hoja bungeni kuhusu ajira za watu wanaojitolea.
Hii ni kilio kwa watoto wa wakulima na maskini kupata ajira tena nchi hii. Utumishi angalau walikuwa wanafumba kidogo macho lakini tunakoelekea mtakuja kufahamu mtao mada alimaanisha nini.
Tanzania tulipofikia kila nyumba kuna degree kadhaa, itafika wakati hata shangazi/mjomba/ binamu hawatokusaidia kwa sababu na yeye ana wakwake wanahitaji ajira. Kitakachofanyika kama yeye yuko PSFPF anampeleka mtoto wake NSSF na huyu NSSF anapeleka PSFPF.
Ni suala la muda tu mtaona agizo alilotoa rais kuruhusu taasisi kuajiri litageuka kuwa kilio kama si vilio.
halmashauri zinatoka kila mara , na ualimu ila hawalalamiki sio hahahaaaAjira za ualimu tokea ameingia samia zilizingatia waliokua wanajitolea na wale waliomaliza mda mrefu hamkulalamika sababu ni ualimu watanzania mna vituko sana
kila taasisi ina policy yake ya recruitment ikiwemo internal recruitment na head hunting, hivyo basi, walichofanya nssf hawana kosa loloteHaiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Sidhan kama zilizingatia waliojitolea, hapa hii ilikuwa ni kuselect tuAjira za ualimu tokea ameingia samia zilizingatia waliokua wanajitolea na wale waliomaliza mda mrefu hamkulalamika sababu ni ualimu watanzania mna vituko sana
basi subiri mchechu atoke maana mashirika wameshapewa mandate ya kuajiri wenyewe PSRS watabaki na halmashauri au MDAAjira hata kama ni za mkataba, ziwe zinatangazwa na kupitia utumishi. Mbona kuna wakati TARURA walitangaza ajira za mkataba kupitia utumishi na watanzania wote wakapata fursa sawa ya kwenda kupambania kombe? Hizi za kusema taasisi iajiri yenyewe eti kisa ni mkataba au kazi maalumu ni kuturudisha kule tulikotoka "KAMLETE na vimemo"
Nina imani na utumishi/PSRS
Bro nikuambie tu izo ajira hazina fair competition na ndipo chimbuko la kuwepo kwa undugu na watu wa aina fulani wenye itikad moja au ukanda.. Na ni moja wapo ya chimbuko kubwa la wafanyakaz hewa..Kuna mda unafanya jambo ukiamini utainekana una akili kumbe nduo unatamgaza ujinga wakom Internal vacancy ni process legal kabisa na mara nyingi huwa inalenga kupandisha watu madaraja maana unaomba kazi iliyo juu yako. Then hizo nafasi zinazoachwa ndio wanapewa new comers ambao hawajui kazi wanaanza. Ila hizo za internal zinataka wanaojua kazi za NSSF zinafanywaje daily, yaani hapo unapata kazi halafu hamna ataeanza kukuambia majukumu yako ni haya. Kama ulikuwa msaisizi wa boss sasa unakuwa boss so unajua cha kufanya.
Tuna-ubinafsi sana na double standard kubwa kubwa mnohalmashauri zinatoka kila mara , na ualimu ila hawalalamiki sio hahahaaa
hii ndio bongo, angekuwpo huko nssf asinge ongea
Mkuu ata uko MDA sidhan naona watabaki na LGA tubasi subiri mchechu atoke maana mashirika wameshapewa mandate ya kuajiri wenyewe PSRS watabaki na halmashauri au MDA
Unayemwomba alikemee huyu hajawahi kuukemea ufisadi uliandikwa kwa maandishi ya CAG. Atalikemea hili lililoandikwa na wewe mkulima mwenzangu?tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Huo mfumo unaousifia ndio ulichangia kuwepo kwa wafanyakaz hewa wengi sana kwenye mfumo.. Ni wa kipuuzi sanaSkia mzee, kama huna Ajira na unataka uzoefu atleast Internship usisite kunichek PM. Karibu.
Mfumo gani be specificHuo mfumo unaousifia ndio ulichangia kuwepo kwa wafanyakaz hewa wengi sana kwenye mfumo.. Ni wa kipuuzi sana
Sijui hili unalizungumziaje
Kwa misingi iyo ndo maana PSRS ikaanzishwa ili kuondoa uo uozo, nahakikia hao wanaojitolea sijui intern hapo nssf wachukuliwe wafanyiwe sail na utumishi ni asiiimia chache sana watatoboa Kwa nguvu zaoBro nikuambie tu izo ajira hazina fair competition na ndipo chimbuko la kuwepo kwa undugu na watu wa aina fulani wenye itikad moja au ukanda.. Na ni moja wapo ya chimbuko kubwa la wafanyakaz hewa..
Kwamba Hr anauwezo wa kuingiza watu ambao hawa exist au walikuepo kwa kipind flan ila kwa sababu kadhaa wakawa wametoka kwenye mfumo ila bado mishahara inaingia kwa watu.. Ila kwenye ajira za utumishi ni ngumu kukuta mfumo wa wafanyakazi hewa au nafasi za kujuana..
Ma Hr wengi hawafati ethics za recruitment.. Ndio maana tunaupinga huo mfumo