Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

Head Hunting mostly hufanyika kwa nafasi chache na unique and Very Specialized Jobs like Neuro Surgeon etc lakini siyo Kwa hizi Entry Jobs Kwa wingi huu wa 300+ kama hizi za NSSF
Usikariri kijana.. hiyo ni process kama zingine za recruitment. Haibagui professionalism.

Ukizingatia sahivi Taasisi nyingi zinafanya TRANSFORMATION lazima waweke watu wanaoijua BIASHARA (Business acumen).

Haya mambo mpk uwe na upeo wa Akili nje ya hapo utaona huyu mtu anadharau au anachuki na watu fulani. Ukwel ndio huo.
 
Hata hizo Kwa mfano compliance officers kufuatilia vitambulisho,michango n.k what is so special kufanya real Degree Holder ashindwe kuelewa through Orientation,labda kama Cheti ni feki
WCF Walitoa kazi.. na hiyo kazi ni MAIN Function ya HR. ila ktk maombi ya kazi watu wa HR hawakuruhusiwa kuiomba hiyo kazi.

So bro usichukulie vitu simpo.simpo
 
Kwa mtu aliyesoma fani akaelewa,kazi nyingi kama hizo za NSSF siyo Sky- Rocketing ni za kawaida sana mtu akipewa ORIENTATION ya one or two weeks ana master Kila kitu tusiwanyime wengine ridhiki Kwa cheap justification
Muhimbili kwenyewe wanakofanya upasuaji mkubwa wa ubongo wanatangaza kazi. Huko NSSF kuna ugumu gani hasa ambao watu wa nje washindwe? Kazi zenye za kuandikisha wanachama wapya na kukata michango ya kila mwezi. Hahaaa
 
Kuna mda unafanya jambo ukiamini utainekana una akili kumbe nduo unatamgaza ujinga wakom Internal vacancy ni process legal kabisa na mara nyingi huwa inalenga kupandisha watu madaraja maana unaomba kazi iliyo juu yako. Then hizo nafasi zinazoachwa ndio wanapewa new comers ambao hawajui kazi wanaanza. Ila hizo za internal zinataka wanaojua kazi za NSSF zinafanywaje daily, yaani hapo unapata kazi halafu hamna ataeanza kukuambia majukumu yako ni haya. Kama ulikuwa msaisizi wa boss sasa unakuwa boss so unajua cha kufanya.
 
Nilipita mlango kwa mlango majibu niliyopewa basi...kwa nafasi za intern walizotangaza pia niliomba na nilitwa
Walikujibu vipi?

Utaratibu wa Serikali BARUA yoyote ile LAZIMA ijibiwe upo huo WARAKA.

Ulipita mlango kwa mlango ukiwa na barua ya maombi au ulikuwa kama unaulizia NYANYA gengeni?
 
Mimi sio MNAFKI.
nimefanya kazi ktk International Organization na nilifanya INTERN ktk Taasisi kubwa tu ya serikali.

Nimeona changamoto na mapungufu ya recruitment processes. Siongelei kiushabiki hapa.
Ule ujinga wa kuomba mtu PSRS alafu anakuja mtu MWEUPE kichwani na kazi ni technical alafu INTERN ndio anamfundisha kazi huyo MWAJIRIWA mpya.

Hayo nimeyaona. Siwez kuongea sanaaa maana tyr AKILI zenu zimehamia TUMBONI hamfikirii Utendaji kazi mnafikiria namna ya kujikwamua kiuchumi. Ndio maana MASKINI wengi ni WEZI hata wakiajiriwa wanafkiria Kuiba na maendeleo ya haraka haraka. Nje ya kufikiria nijiboreshe vipi kiutalaam na ni vip nitaboresha maslahi ya Taasisi kwa ujumla.

Nakupa hii.

US Embassy recruitment yao inampaka REFERRAL yaan kama hakuna mtu anakujua pale UBALOZINI ww hutoboi. Unajua ni kwanin? Sina JIBU.
Mwajiriwa mpya ni lazima afanyiwe "induction course/induction programme" ili kumwandaa vizuri kwa majukumu yake mapya!! Mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kumtegemea mwajiri mpya direct from the college awe na uelewa timamu wa majukumu yake.

An induction program is the process used within organizations to onboard new hires into the organization and familiarizes them with the new role and company culture.
An induction program is part of an organization’s knowledge management and transfer process intended to set up the new hire for success. During this phase, you can get your new hire up to speed, prepared, culture acclimatized, and trained for the new role. In the absence of an onboarding program, you risk them being a misfit, and without clarity on their role and how it fits in with the team in the company framework. Poor culture fit doesn’t necessarily mean that they don’t possess the skill set needed to perform the job but that their methods and expectations don’t align with the values and norms of the organization or management expectations.
Hakuna anayetegemewa kuwa competent kama mwajiriwa mpya bila maelekezo ya msingi?induction course.

Nikupe mifano: Daktari anayeanza kazi (MD), kuna mambo anaweza kuwa hayajui kabisa kivitendo na ikabidi aelekezwe na AMO au hata na muuguzi!! Ni mjinga tu anayeweza kutegemea kuwa kwa kuwa huyu ni daktari basi atakuwa anajua kila kitu!!
 
Usikariri kijana.. hiyo ni process kama zingine za recruitment. Haibagui professionalism.

Ukizingatia sahivi Taasisi nyingi zinafanya TRANSFORMATION lazima waweke watu wanaoijua BIASHARA (Business acumen).

Haya mambo mpk uwe na upeo wa Akili nje ya hapo utaona huyu mtu anadharau au anachuki na watu fulani. Ukwel ndio huo.
Usikariri kuwa Kila anae- comment humu ni kijana,wengine ni wahenga long experience ambao hizo process tunazijua na nimekupatia mfano tu huo wa Neuro- Surgeon unapaniki .Niambie kuna justification gani ya hizo Junior job za NSSF kuhitaji HEAD HUNTING process kadri ya hoja yake . Transformations zimekuwa zikifanyika katika taasisi mbalimbali lakini isiwe upenyo wa kuwa- deny vijana wengine opportunities
 
Mwajiriwa mpya ni lazima afanyiwe "induction course/induction programme" ili kumwandaa vizuri kwa majukumu yake mapya!! Mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kumtegemea mwajiri mpya direct from the college awe na uelewa timamu wa majukumu yake.

An induction program is the process used within organizations to onboard new hires into the organization and familiarizes them with the new role and company culture.
An induction program is part of an organization’s knowledge management and transfer process intended to set up the new hire for success. During this phase, you can get your new hire up to speed, prepared, culture acclimatized, and trained for the new role. In the absence of an onboarding program, you risk them being a misfit, and without clarity on their role and how it fits in with the team in the company framework. Poor culture fit doesn’t necessarily mean that they don’t possess the skill set needed to perform the job but that their methods and expectations don’t align with the values and norms of the organization or management expectations.
Hakuna anayetegemewa kuwa competent kama mwajiriwa mpya bila maelekezo ya msingi?induction course.

Nikupe mifano: Daktari anayeanza kazi (MD), kuna mambo anaweza kuwa hayajui kabisa kivitendo na ikabidi aelekezwe na AMO au hata na muuguzi!! Ni mjinga tu anayeweza kutegemea kuwa kwa kuwa huyu ni daktari basi atakuwa anajua kila kitu!!
Wewe nae umeenda kugugo alaf unakuja hapa. Ngoja nikupe Darasa.

Induction Course ni kwa kila MUAJIRIWA kwa upande wa serilali na kuna miongozo ya utendaji wa hiyo kozi. Na humo inaambatana na maswala ya vetting elimu ya utumishi wa ummaa miongozo kanuni.. sheria..etc

USIFANANISHE Induction COURSE na ON/OFFJOB TRAINING ni vitu viwili tofauti.. Mbingu na Ardhi.

Kwa upande wa MADAKTARI wanamiongozo yao wanatakiwa wafanye INTERNSHIP na ni LAZIMA.
 
Mnaotetea na kusema ni internal recruitment hamjui mlisemalo. Sheria ya Utumishi wa Umma haina kitu kinaitwa Internal Recruitment bali Vifungu vya Sheria hiyo hususan Kifungu cha 6A (2) kinaeleza kwamba ikitokea nafasi yoyote katika Utumishi wa Umma ni lazima nafasi hiyo itangazwe kwa uwazi na usaili ufanyike. Pia Aya ya 5.7 ya Taratibu Bora za Ajira inaeleza wazi kwamba Uajiri ni sharti ufanyike kwa ushindani ulio wazi kwa kutangaza nafasi ili kuhakikisha kuwa waombaji wote wenye sifa kutoka ndani na nje ya Utumish wa Umma wanajitokeza. Na waombaji walioshinda usaili kwa ushindani ndio watakaoajiriwa.

Mnaposema vijana wamepata tabu kwa kujitolea je hao waliokuwa mtaani ambao hawakufikiriwa kwenye hizo nafasi za kujitolea sio kwamba wao ndio wamepata tabu zaidi? Kujitolea kuna manufaa kadhaa kwanza unajifunza kazi unapata uzoefu huyu wa mtaani hapati huo uzowefu, pili unapata chakula na posho kidogo za kujikimu huyo wa mtaani asiyekuwa na refa hapati hivyo.
 
Usikariri kuwa Kila anae- comment humu ni kijana,wengine ni wahenga long experience ambao hizo process tunazijua na nimekupatia mfano tu huo wa Neuro- Surgeon unapaniki .Niambie kuna justification gani ya hizo Junior job za NSSF kuhitaji HEAD HUNTING process kadri ya hoja yake . Transformations zimekuwa zikifanyika katika taasisi mbalimbali lakini isiwe upenyo wa kuwa- deny vijana wengine opportunities
Hoja ya HEAD HUNTING imeingilia katikati sio main THEME ya huo mjadala wa NSSF.

Nomba niliweke sawa hilo.
Nikuulize swali.
Una INTERN kafanya 2 yrs na una open Vacant je utamchukua huyu au utaenda kuchukua mwingine aliyekaa MTAANI/MWEUPE kuhusu TAASISI aje akufanyie kazi?
 
Walikujibu vipi?

Utaratibu wa Serikali BARUA yoyote ile LAZIMA ijibiwe upo huo WARAKA.

Ulipita mlango kwa mlango ukiwa na barua ya maombi au ulikuwa kama unaulizia NYANYA gengeni?
Na ili niliweke wazi wapi wengi sana waliopitia huu ukiritimba nilioupitia kila mmoja akitoa ushahidi umu hapatatosha na hapa ninapambania na wengine watakaopitia hustle kama iz, na matokeo yake yawe ya ovyo kama haya ya sasa, Mimi sio m binafsi kama wewe.
 
Ubinafsi wangu ni upi?
 
Hoja ya HEAD HUNTING imeingilia katikati sio main THEME ya huo mjadala wa NSSF.

Nomba niliweke sawa hilo.
Nikuulize swali.
Una INTERN kafanya 2 yrs na una open Vacant je utamchukua huyu au utaenda kuchukua mwingine aliyekaa MTAANI/MWEUPE kuhusu TAASISI aje akufanyie kazi?
Utaratibu wa kujaza nafasi za Utumishi wa Umma ni tofauti na private kama ungekuwa na kampuni yako ni sawa. Ila kwenye Utumishi wa Umma Ajira ni kwa ushindani,usawa na uwazi na ninaposema Ushindani ni lazima uangalie waliopo ndani na waliopo nje. Naomba kama una nafasi usome na kupitia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo mbalimbali inayoguide masuala ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
 
Mnaotetea na kusema ni internal recruitment hamjui mlisemalo. Sheria ya Utumishi wa Umma haina kitu kinaitwa Internal Recruitment bali Vifungu vya Sheria hiyo hususan Kifungu cha 6A (2) kinaeleza kwamba ikitokea nafasi yoyote katika Utumishi wa Umma ni lazima nafasi hiyo itangazwe kwa uwazi na usaili ufanyike. Pia Aya ya 5.7 ya Taratibu Bora za Ajira inaeleza wazi kwamba Uajiri ni sharti ufanyike kwa ushindani ulio wazi kwa kutangaza nafasi ili kuhakikisha kuwa waombaji wote wenye sifa kutoka ndani na nje ya Utumish wa Umma wanajitokeza. Na waombaji walioshinda usaili kwa ushindani ndio watakaoajiriwa.

Mnaposema vijana wamepata tabu kwa kujitolea je hao waliokuwa mtaani ambao hawakufikiriwa kwenye hizo nafasi za kujitolea sio kwamba wao ndio wamepata tabu zaidi? Kujitolea kuna manufaa kadhaa kwanza unajifunza kazi unapata uzoefu huyu wa mtaani hapati huo uzowefu, pili unapata chakula na posho kidogo za kujikimu huyo wa mtaani asiyekuwa na refa hapati hivyo.
Umeshindwa kutafsiri SHERIA.

Pole sana.
 
Kuna mda unafanya jambo ukiamini utainekana una akili kumbe nduo unatamgaza ujinga wakom Internal vacancy ni process legal kabisa na mara nyingi huwa inalenga kupandisha watu madaraja maana unaomba kazi iliyo juu yako. Then hizo nafasi zinazoachwa ndio wanapewa new comers ambao hawajui kazi wanaanza. Ila hizo za internal zinataka wanaojua kazi za NSSF zinafanywaje daily, yaani hapo unapata kazi halafu hamna ataeanza kukuambia majukumu yako ni haya. Kama ulikuwa msaisizi wa boss sasa unakuwa boss so unajua cha kufanya.
Umesoma tangazo vizuri mkuu?
Unajua maana ya wafanyakazi wenye " Fixed contract" ndio wanatakiwa waombe.
Hawa wenye fixed contract wanatakiwa kurenew contract sio kuomba kazi. Hili tangazo maana yake wanaingia kwenye ajira ya kudumu na sio promotion kama unavyosema hapà.
MTU mwenye fixed contract hapandi daraja hakuna huo muundo. Unajua maana ya kupanda daraja?
 
Back
Top Bottom