Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ni wale Wamasai. Wanasema walikuwa wanajitayarisha kupiga kura Serikali za Mitaa.Najaribu kukuelewa mkuu, (Nyerere's son)
Makonda ni raia wa Tanzania na Wananchi wangependa kujua alipo 🐼Makonda ndio sera yake
Wakati utaongea hakunaga ukimya udumuo mileleMakonda ni raia wa Tanzania na Wananchi wangependa kujua alipo 🐼
Yesu alisema" mchungaji MWEMA wa Kondoo huwaacha nyikani Kondoo 99 na kwenda kumtafuta Kondoo mmoja aliyepotea"
Kishwahili kinaumizwa. Unataka kusema ana cha maana (has... ) au hana cha maana (doesn't...). h ni ya maanaHuyu ana Cha maana