Kuna maeneo tunapaswa kuacha chokochoko za kisiasa na kuacha kudeal nazo ili tujadili ya msingi.

Suala la Makonda kutoonekana ni la muda tu.
 
Kwa hiyo ndio kazi ya TLS?
 
Comment za hapa za wanaojiita ma great thinker ni kipimo kinachoonesha Nchi Kuna watu wanatembea hawana vichwa.Mathalani ameulizwa hilo swali mlitaka atoe majibu gani? Tatizo la huyo mwandishi mpuuzi ambae alikuwa Hana Maswali ya maana.
 
Kishwahili kinaumizwa. Unataka kusema ana cha maana (has... ) au hana cha maana (doesn't...). h ni ya maana
Mtu akiandika kwa namna hiyo. Huwa napata mashaka sana kamaanisha "hana" ila kasahau "h" au kamaanisha "ana"

Namajuzi walipandisha uzi kuhusu vitu vya namna hii
 
Jana Star TV kwangu iligoma kabisa sikuangalia
 
Kumbe na hii ni kazi ya TLS???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…