Hata mimi binafsi sioni mantiki ya Bima kumlipisha gharama za matibabu na ingali mke wake wa kwanza hakuwa mnufaika kabisa wa Bima.Kama ulichoandika ndicho ukweli wenyewe hapa NHIF wamejipachika kazi isiyokuwa yao, wewe haujafoji cheti una ndoa halali kisheria, hizi dosari zako zingine haziwahusu.
Lakini hiki unachokieleza hapa kinakataa kuniingia akilini kazi ya NHIF ni verification tu ya majina.
Mimi Mzee wangu kabla ya kufariki nilimuombea kwenye bima yangu kulikuwa na shida ya majina sisi kwetu tuna majina mawili mawili karibu kila mtu sasa kukawa na complication ya majina nilipeleka hati ya kiapo cha mahakama tu kuthibitisha majina yangu.
Sasa hapa kwako sioni logic hili haliwahusu NHIF.
Hayo ni mambo yake binafsi hayatuhusu hapa. Msaidie hili la bima mkuu. Ila kwa haraka haraka nahisi huyo mke alikuwa mtumishi na ndio maana hata bima hakumkatoa kwa kuwa mtumishi nae anatimia taarifa zake kupata bima. Na yawezekana huyo mtumishi alikuwa KICHOMI hatari jamaa ikabidi achomoe betriPole sana mkuu
Kwanini uliachana na mkeo wa kwanza nini sababu kaka
NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udanganyifuZingatia ushauri wa kanulege. Nakuwa nahisia za upigaji iwapo utakaa kizembe. Kama ni kosa kweli kisheria usingeitwa Private mngeonana kwa pilato. Sasa huo utaratibu utakaopewa eti ulipe hizo gharama unatoka wapi. Toka lini serikali ikafanya negotiations na mvuja sheria. Kama upo vizuri tafuta mwanasheria akusaide na ukiwashinda wakulioe fidia ya kusimamisha huduma
Uko sahihi, kuna nyumba unakuta bima zinafumaniana kila mtu anatumia ya kwake na kuingiza wategemezi wake.Hayo ni mambo yake binafsi hayatuhusu hapa. Msaidie hili la bima mkuu. Ila kwa haraka haraka nahisi huyo mke alikuwa mtumishi na ndio maana hata bima hakumkatoa kwa kuwa mtumishi nae anatimia taarifa zake kupata bima. Na yawezekana huyo mtumishi alikuwa KICHOMI hatari jamaa ikabidi achomoe betri
Umeongea sahihi mkuuHayo ni mambo yake binafsi hayatuhusu hapa. Msaidie hili la bima mkuu. Ila kwa haraka haraka nahisi huyo mke alikuwa mtumishi na ndio maana hata bima hakumkatoa kwa kuwa mtumishi nae anatimia taarifa zake kupata bima. Na yawezekana huyo mtumishi alikuwa KICHOMI hatari jamaa ikabidi achomoe betri
Mkuu, usimpe moyo,akienda mahakamani hatoboi. Kufunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine ya kikristo ni utapeli na udanganyifu. Hiyo ndoa ya pili ni batili kisheria na NHIF watamshataki kwa kupeleka taarifa za ndoa batili na hatakuwa na cha kujitetea. Ndoa ya pili kisheria ni batili na hapa ndo NHIF wanasimamia,kwamba amewadanganya kuwa huyo ni mkewe ilihali kisheria huyu sio mke halali.NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udanganyifu
Umenisaidia.Mtu anaweza kujiuliza kwanin mke wa kwanza sikumkatia bima kipindi tunaishi.ukweli nikwamba mimi nayeye wote ni watumishi hvyo alijikatia mwenyeweUko sahihi, kuna nyumba unakuta bima zinafumaniana kila mtu anatumia ya kwake na kuingiza wategemezi wake.
Hawa wanawake watumishi ni kweli pasua kichwa haswa, ni wachache wanaojielewa na kuheshimu ndoa zao.
Shida ya Wanasheria wetu nao hawana utu, kesi iko wazi hapo atataka millioni 3 na kila tarehe ya mahakama million 50.NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udanganyifu
NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udanganyifu
NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udanganyZingatia ushauri wa kanulege. Nakuwa nahisia za upigaji iwapo utakaa kizembe. Kama ni kosa kweli kisheria usingeitwa Private mngeonana kwa pilato. Sasa huo utaratibu utakaopewa eti ulipe hizo gharama unatoka wapi. Toka lini serikali ikafanya negotiations na mvuja sheria. Kama upo vizuri tafuta mwanasheria akusaide na ukiwashinda wakulioe fidia ya kusimamisha huduma
Hao NHIF wanajua sheria za ukristo yaani ukiingia uko hautoki?Mkuu, usimpe moyo,akienda mahakamani hatoboi. Kufunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine ya kikristo ni utapeli na udanganyifu. Hiyo ndoa ya pili ni batili kisheria na NHIF watamshataki kwa kupeleka taarifa za ndoa batili na hatakuwa na cha kujitetea. Ndoa ya pili kisheria ni batili na hapa ndo NHIF wanasimamia,kwamba amewadanganya kuwa huyo ni mkewe ilihali kisheria huyu sio mke halali.
Namimi kwa kuwa tayar nina mgonjwa sijataka mambo ya kesi. Niliwaelewa kwa hyo nasubiri wanipe utaratibu wa kurudisha hizo gharama ili maisha mengine yaendelee.Mkuu, usimpe moyo,akienda mahakamani hatoboi. Kufunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine ya kikristo ni utapeli na udanganyifu. Hiyo ndoa ya pili ni batili kisheria na NHIF watamshataki kwa kupeleka taarifa za ndoa batili na hatakuwa na cha kujitetea. Ndoa ya pili kisheria ni batili na hapa ndo NHIF wanasimamia,kwamba amewadanganya kuwa huyo ni mkewe ilihali kisheria huyu sio mke halali.
Meanwhile wakati unapambana na hili file divorce mahakamani kama mke wa kwanza ameshamove on hana shida na wewe wala hamna cha kugawana unampa hakimu kitu kidogo fasta tu anaivunja ndoa rasmi na mnapewa devorce decree.Umenisaidia.Mtu anaweza kujiuliza kwanin mke wa kwanza sikumkatia bima kipindi tunaishi.ukweli nikwamba mimi nayeye wote ni watumishi hvyo alijikatia mwenyewe
Wabongo wengi kama wewe ni watu wa kupenda rushwa, hata katika jambo linalowaumiza wao.Bwana mdogo, unateseka sana na utelezi😄😄😄
Anyway inaonekana wewe ni mpole sana alafu hupendi discussion na wandewa.
Rudi tena huko BIMA, omba kuonana na maneja.Mpange mpe kifuta jasho hata M4 akulainishie mambo huduma zako zirudi kama awali.Maisha hayana formula na hayahitaji ucomplicate sana.
Kama wewe ni MZALENDO kalipe 10M kiroho safi.Ila kwa majanga uliyo nayo kaza watakufilisi, msala mdogo huo upo ndani ya uwezo wako ongea lugha ya kimataifa(NUMBERS💰).
#EVERYONE HAS A PRICE,MAKE SURE UNALIKUMBUKA HILI KILA WAKATI!!
Hawa ni NHIF ngazi ipi mkoa upi? Unaweza kushare nami private some details?Namimi kwa kuwa tayar nina mgonjwa sijataka mambo ya kesi. Niliwaelewa kwa hyo nasubiri wanipe utaratibu wa kurudisha hizo gharama ili maisha mengine yaendelee.
NHIF wanafata sheria za nchi, kwa sheria za nchi ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja tu wewe kama umeasi au umeasi ni juu yako. Wao wanafata sheria ya ndoa ya nchi inasemaje.NHIF wanajifanya nao ni kanisa ndoa ya mke mmoja wakati serikali yenyewe inatambua ndoa za wake wengi atafute mwanasheria hii anatoboa kwasababu mke wa kwanza sio mnufaika wa bima angekuwa amechomeka wote wawili ndio angekuwa amefanya udangany
Hao NHIF wanajua sheria za ukristo yaani ukiingia uko hautoki?
Huyu ameshaasi ukristo tayari kwa kuoa mke wa pili ingali ndoa ya kwanza bado ipo ni mpagani huyo kwa sheria za kikristo .
Aaaah aaah aaah
Watu wamezoea rushwa sana, ndio maana wanapigwa. Sasa kwa kesi kama hii, ukitoa hela mtu achukue ilihali hutoboi, utamshataki wapi mtu aliyekula hela zako??Wabongo wengi kama wewe ni watu wa kupenda rushwa, hata katika jambo linalowaumiza wao.
Rushwa imekuwa ni kama mfumo wa maisha tu. Na jambo la umma linaonekana kama jambo lisilo na mwenyewe.
Yani unamshauri kabisa mtu akatoe rushwa kwenye jambo ambalo ame abuse mfumo wa bima kwa ujinga wake, kwa namna ambayo inawaharibia watuniaji wengine wa mfumo huo.
Ndiyo maana mifumo hii inashindwa kufanya kazi.
Jamii nzima inakubali rushwa na njia za mkato. Wewe hata huoni aibu kuandika ushauri wa kumaliza suala hili kwa rushwa.
Huyu mwingine OP naye anaoa oa tu,hata haachi, hata hajui maana ya kuoa bila kuacha ni nini.
You can't be serious.
Pole sana mkuu.Hilo limetufundisha wote kwamba,mambo ya kiofisi,hasahasa serikali,huendeshwa kwa taarifa rasmi kimaandishi/documents halali.Haukuachana na mkeo kiofisi rasmi/talaka mkononi.Kosa kubwa sana.Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Using'ang'ane kwa kila kitu ukadhani unaijuwa hii nchi.NHIF wanafata sheria za nchi, kwa sheria za nchi ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja tu wewe kama umeasi au umeasi ni juu yako. Wao wanafata sheria ya ndoa ya nchi inasemaje.
Pole sana bro, kuna kipindi nilikuwa kama wewe nahubiri haki natenda haki.Ila mwisho wa siku haki haipo duniani.Wabongo wengi kama wewe ni watu wa kupenda rushwa, hata katika jambo linalowaumiza wao.
Rushwa imekuwa ni kama mfumo wa maisha tu. Na jambo la umma linaonekana kama jambo lisilo na mwenyewe.
Yani unamshauri kabisa mtu akatoe rushwa kwenye jambo ambalo ame abuse mfumo wa bima kwa ujinga wake, kwa namna ambayo inawaharibia watuniaji wengine wa mfumo huo.
Ndiyo maana mifumo hii inashindwa kufanya kazi.
Jamii nzima inakubali rushwa na njia za mkato. Wewe hata huoni aibu kuandika ushauri wa kumaliza suala hili kwa rushwa.
Huyu mwingine OP naye anaoa oa tu, hata haachi, hata hajui maana ya kuoa bila kuacha ni nini.
You can't be serious.