Tembulukoje
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 397
- 143
Hivi ni watz wangapi wana hizo website watakaoisoma hiyo ilani ya uwaka mbona sanaa hii kama kisimu changu cha tochi ntaiona kweli wajemeni
How comes mtu anashindwa kusoma matarajio ya hadhira? hana mpangilio, haeleweki, vipa umbele vingine hadi akumbushwe! tuweni ukweli bora kumpa dovutwa kuliko lowassa. Niliwalaumu sana siku ya kwanza ccm kumkata, leo hii nimewaelewa. Lowassa sio presidential material at all
vipi, kamanda slaa atakuwepo? au umeweka tu kuwafuraisha wana jambi?
Huyu lofa kashindwa tena kuongea. Halafu bado mnataka awe Rais?
Huo ni zaidi ya upumbavu huo ni uzumbukuku.
Ni post ya CHADEMA asilia. Mmetuvurugia chama, sasa sio kila anayeonyesha udhaifu ulipo ni CCM.
Mkuu kama umemfuatilia vizuri Lowasa kwa hizo dakika mbili alizoongea, utaona hakuweza kuainisha strategies zozote zenye mashiko za kuinua nchi. Sana sana, ameleta stori za udaku tuu......!!! Obviously, uwezo wake wa kujenga hoja za msingi ni mdogo sana.!!!!!!! Hicho ndo watanzania walichoona leo
Tanesco ndo wana rudisha umeme saiv tangia asbhi
Baada tu ya mkutano kufungwa na umeme saa iyo iyo ukarudishwa,yaan ccm janga la taifa
Enzi zetu ilikuwa hivyo, tena hapa hapa Tanzania. Hata kusafiri kwenda nyumbani wakati wa likizo tulikuwa tunasafiri bure. Umesahau?Pia nipeni mfano wa taifa japo moja ambalo limefanikiw kutoa elimu bure toka elimu ya awali mpaka chuo kikuu...