Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
Mpaka sasa sijaona hata picha moja ya Jangwani hivi mmekatazwa kupiga picha hapo jangwani? kunani leo huko jangwani. Wapuuzi sana kama Fisadi Mkapa nyie ukawa wa Dar leteni pichaHahahaaaaa ujue nimemuona popoma sana huyo mbwiga?
Yaani picha ya miaka 70 anataka kutudanganya ni ya leo?
Vipi dogo jangwani unaenda au?
Jamanimbona hatuoni mapicha, msiache nikaanza kujuta jana nimenunua power bank ili niweze kufuatilia hii kitu kila hatua.[/m
Mapicha hayo hapo...wazee wa vifusi
Naona vijana wa starbarg wapo kazini
uko wapi kichuna wa miye haa haa haa
Mpaka sasa sijaona hata picha moja ya Jangwani hivi mmekatazwa kupiga picha hapo jangwani? kunani leo huko jangwani. Wapuuzi sana kama Fisadi Mkapa nyie ukawa wa Dar leteni picha
jebibayAlfajiri sana alianzisha uzi wa live updates mtu wa kuaminika standalone lakini Mods kwa sababu ambazo nimeshindwa kabisa kuzielewa wakaunganisha na uzi wa maandalizi ya jangwani uliowekwa jana.
Kokoto zimeanza kusombewa jangwani..!!
we ni kamanda au shushushu?
Na haidi kuama hii nchi lowasa akiwa raisi
Mkuu huu alaghai ndo unao wamaliza, be realistic mnayo japo machache ya kuueleza umma ukawaelewa. Ku capitalize kwenye ufisadi wa Lowasa unaibua maswali mengi dhidi ya ccm na selekali kuliko yanayo enda kwa Lowasa.Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
Tumeliwa. Tunafanyiwa hujuma kila kona. Ila kutakucha tuHuyu mleta huu uzi mbona hatutendei haki, mapicha yako wapi sasa?