Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

UMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...

karibu maeneo yote umeme hamna hata mi nimeshangaa sana.
 
Wewe umetoa point ipi sasa hapa? Pinga kwa hoja mkuu. Hiyo dhana ya mfumo ni porojo za kisiasa

Dhana ya mfumo mbovu mbona wao huo mfumo wameubeba ona mfumo ulitumika kumpata mgombea urais hadi rais wetu tuliyemtarajia Dr slaa wakamtosa Tena hilo neno mfumo sijui ufisadi ni bora wakatafuta neno jingine kuliko haya maana yanawadhalilisha tu.
 
CCM wanaendelea kujitoa ufahamu. Eti sasa wanajifanya Lowassa ndiye aliyekuwa kikwazo kilichosababisha washindwe kuwatumikia wananchi.
system ya CCM imefeli. Ndio maana mpaka kipindi hiki cha kampeni nchi iko gizani. Umeme hata wa kuwadanganyia wananchi hakuna!!!
 
Hatubebwi na mafuso ya kubebea kokoto , tunaenda kwa miguu yetu
 

Attachments

  • 1440841467489.jpg
    24.4 KB · Views: 759
  • 1440841484890.jpg
    23.6 KB · Views: 716
Usihofu mkuu hicho kijimvua ni kizuri kwani kinapunguza joto si unajua kutakuwa na msongamano? Sema hofu ni hivyo vijidege chakavu wanavyocheza navyo huko juu visije vikawadondokea watu kama ilivyotokea juzi pale Uingereza.
 
Watu wasije na vitu vya thamani na wakae karibu na magari yao.wakati wa kuondoka usitembee mwenyewe
 
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
 
Watu wanamtaka Edoooo
 

Attachments

  • 1440841713806.jpg
    28.8 KB · Views: 721
Huku ndio kwa updates Sasa. Kule kwengine ni maandalizina yashaisha
 
Uwanja wa Jangwani hautatosha kwa shughuli ya leo......... Mungu anakwenda kudhihirisha uwongo na unafiki wa CCM.

"Mungi" tusaidie kufafanua "uwongo na unafiki wa CCM" ili 25/10/2015 tufanye maamuzi yaliyo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…